Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Anataka CCM iendelee kutawalaMbowe unauliza bado anataka nini kwenye maisha yake kila kitu ambacho Ila sisi ngozi nyeusi bwana!!
Kutawala kwa kuiba kuraAnataka CCM iendelee kutawala
Mtasema sana.Television ya Taifa au Radio ya Taifa hasa Taifa hili la Tanzania halirushi kitu live bila kuwa programmed.
Mbowe alishapangwa na walishakubaliana nini akaongee.
Hata Masheikh na Maaskofu ili Dua zao zirushwe live lazima waonyeshe kwanza hizo dua ndio waruhusiwe.
Nikiwa jeshini nilikuwa mmoja wa waandaa risala, mgeni rasmi alikuwa mtu mzito hivyo huambatana na TBC live na vyombo vingine.
Ile risala ilipitia hatua nyingi sana mpaka kukubaliwa , kila hatua waliihariri.
SawaMtasema sana.
Amandla...
Kweli sasa nimeamini kile ni chama cha wala mbegeMbowe hana akili kabisa ila sishangai. Lissu chukua TADEA tutakuja huko huko tuwaache akina Mangi chama chao.