Ili ufanikiwe maishani kipi kitangulie gari, nyumba au ndoa?


Unaweza jaribu kutimiza malengo kumbuka umri haukusubiri utajikuta unaitwa babu hujatimiza malengo,ulichonacho mkononi ndo chako jipange na kujiwekea deadline ya malengo yako,sio muda wa kuoa umefika unasema bado malengo hayajatimia lazima sometime plan zinachange.
 
Mkuu kujenga nyumba ni woga wa maisha tuu nunua gari mie nyumba ya kupanga nitakupangisha ila utakuwa unanipa lift mzee asubuhi .....
Ha ha haa. Kweli maisha yanategemeana. We uanze kujenga nyumba (gari huna) hlf unamshauri mwenzako anunue gari hlf aje kupanga kwako ili ww uwe unapewa lift. Tena hapo asipokupa lift lazima ahame kwenye nyumba yako teh teh.
 
Ha ha haa. Kweli maisha yanategemeana. We uanze kujenga nyumba (gari huna) hlf unamshauri mwenzako anunue gari hlf aje kupanga kwako ili ww uwe unapewa lift. Tena hapo asipokupa lift lazima ahame kwenye nyumba yako teh teh.

Haha...tehe umeona asee acha tuu akininyima lift ...napandisha kodi atahama tuu
 

ni kweli usemayo kama umri umemtupa aoe asije kuchelewa vyote...ila itamgharimu sana kutimiza malengo ya nyumba na gari kama atapata mwanamke ambaye hatompa ushirikiano kwenye hilo suala...na akipata mwanamke mzuri na mwelewa wakipeana ushirikiano watafikia kwa haraka...
pia kama anategemea mkopo au mshahara bila biashara itamsumbua na itamchukua muda raha ya pesa inatoka na nyingine inaingia

inajenga heshima na kujiamin as father of familly kufanya yale ya wajibu wako blila kumtegemea mwanamke kwa asilimia kubwa
 
Anzia gari,kwa milion 8 au 9 unapata gari dogo kwenye yard,huwezi pata nyumba au kujenga nyumba ya milion 9, nunua gari nyumba utajenga pole pole,gari inaleta heshima sana huku uswaahilini//mitaani


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 


True,kuoa nako kuna changamoto zake,unaweza kuoa ukashangaa badala ya kusonga unarudi nyuma,mtumainie mola akupe mwanamke bora sio bora mwanamke.
 
Hiyo pesa ni shilingi ngapi? Sidhani kama kuna kanuni ya nini cha kuanza kisha kipi kifuate, kwanza wewe angalia unachoona kina umuhimu kwako, pesa siku zote kabla ya kuikama ta mipangilio/malengo yanakuwa mengi lakini ukishaipata(ukishakuwa nayo mikononi) inakuwa haitoshi siku zote.
 
kuna baba mwenye nyuba, hakuna baba mwenye gari, nunua gari kwanza tena alteza, halafu nyumba utapanga mkuu, kujenga mdogo mdogo kama unataka nyumba ya uhakika, ila kama vyumba viwili tu, haina shida.
 

Mbona kama tayari unajipa majibu mwenyewe???
 
Unaweza kuanza na chochote na bado ukafanikwa kwenye maisha.
 

sala kwanza then utapata jibu kipi halali kuanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…