Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,733
cha KWANZA NI MUNGU......
tuliza akili mimi baba angu alisema wekeza kwenye ARDI as u can...nunua kiwanja kwanza tafta pesa ya kujeng then nunua gari ambalo litakusidia hta kubebea vifaa vidogo dogo wenye buti kwa ajili ya ujenzi
mwanamke weka mbali...timiza malengo ndo ufikirie suala la kuoa na kuwa na familia
best wishers
Unaweza jaribu kutimiza malengo kumbuka umri haukusubiri utajikuta unaitwa babu hujatimiza malengo,ulichonacho mkononi ndo chako jipange na kujiwekea deadline ya malengo yako,sio muda wa kuoa umefika unasema bado malengo hayajatimia lazima sometime plan zinachange.