Ili uwe mwanasheria unatakiwa uwe umesomea kombi gani?

Ili uwe mwanasheria unatakiwa uwe umesomea kombi gani?

Combination yeyote mkuu ili mradi uwe umefaulu vizuri angalau division one point 3 kwa Dsm au div2,3, au 4 kwa sauti na vyuo vngine vya private.
 
Inatakiwa uwe umesoma Sheria! Haijalishi comb gani!

Ha ha ha! Amante umeniua kwa raha. Nadhani ni kiswahili kimepiga chenga, jamaa alimaanisha ili kusomea sheria inabidi uwe umesomea combi gani?

Ni kweli, kusomea sheria huwa haijali masomo yako ya awali. Ila kwa wale waliosoma masomo ya Arts, kama Kiingereza, fasaha nk, huwa wanakuwa na advantage katika namna ya kucheza na lugha, tofauti na wale wa masomo ya sayansi kama hesabu, chemistry nk. Mara nyingi wanasheria mahili ni wale ambao pia wana uwezo mzuri katika masuala ya lugha na kujieleza. Maana sheria bwana ni jinsi ya kucheza na lugha, na ukiwa wakili ndio kabisa, huenda ikabidi ukajifunze na jinsi ya kuigiza kidogo!
 
Dogo acha dharau mdogo wangu yupo hapo UDSM anasoma sheria ana 11 point 10

Hata mi nimemshangaa! Manake form six divisheni 1 point 3 ndo ya kwanza

Sasa ina maana hao UDSM wanachukua waliopata A tu?

Si kweli hata kidogo.
 
samahani ndugu zangu nina mdogo wangu ana div two ya 8, na anataka soma sheria xo nataka kufaham kama ataweza pata mkopo
 
Dogo acha dharau mdogo wangu yupo hapo UDSM anasoma sheria ana 11 point 10

Mwambie huyo dogo..mi nilisoma HKL na pass zilikuwa DDE na nipo hapohapo UDSM na kuna friend yangu alikuwa na BCC yupo SAUT...sio kila kitu udsm..udsm kwani ndo kuna nn mbona tumechanganyika tuu hapa school
 
Combination yeyote mkuu ili mradi uwe umefaulu vizuri angalau division one point 3 kwa Dsm au div2,3, au 4 kwa sauti na vyuo vngine vya private.
Hahah wew ni muongo kupitiliza LL.B ili usome ni lazima uwe umefaulu kiingereza kwa form 'iv c na form six uwe na e kwenda juu halafu hauwezi kusoma LL.B Ukiwa na four(fresh from school) mwambie a some LL.B ni nzuri sana we are learned brothers
 
Na kama una 1 ya mwisho (point 7 ) hgl vp apo udsm au saut unapata?
 
Kweli kitivo kimepoteza heshima yake sasa, sitaki kuamini kama DDE zinaingia kitivo pale, enzi zetu ni Cut off points 12 hadi 15. yaani Div 1 ya point 3 hadi 6.

Mwambie huyo dogo..mi
nilisoma HKL na pass zilikuwa DDE na nipo hapohapo UDSM na kuna friend
yangu alikuwa na BCC yupo SAUT...sio kila kitu udsm..udsm kwani ndo kuna
nn mbona tumechanganyika tuu hapa school
 
samahani ndugu zangu nina mdogo wangu ana div two ya 8, na anataka soma sheria xo nataka kufaham kama ataweza pata mkopo

Kozi za sheria ni ngumu kupata mkopo kwa sasa kipaumbele ni Education,Medical na Engineering
 
enzi zetu ni Cut off points 12 hadi 15. yaani Div 1 ya point 3 hadi 6.

Huh! Sijakuelewa hapo....

Points 12 hadi points 15 siyo divisheni two hizo? Sasa cutoff point ilikuwa divesheni gani?

1.6 au 2.15?
 
Back
Top Bottom