Ili uwe na mpangilio mzuri wa nguo kwenye begi au kwenye kabati huwa unapanga kila baada ya muda gani?

Ili uwe na mpangilio mzuri wa nguo kwenye begi au kwenye kabati huwa unapanga kila baada ya muda gani?

Yaani haya maswali ni ya kuuliza watoto wa darasa la 5 kwenye somo la sayansikimu.
Ni utoto mtupu.
 
Mimi napenda sana kitanda yani bora nisipange nguo ila kitanda changu kiwe smart natandika shuka langu lolote lile japo napenda sana jeupe as I said natandika kitandani hadi linyoke vizuri naakikisha kila pembe ya kitanda imekaa sawa nachukua pasi naanza kunyoosha shuka kitanda kizima na kitanda changu always kinaegemea kwenye main switch ili niweze kunyoosha shuka langu vizuri kabisa
 
Mpangilio ni muda wote
Order brings peace of mind

Tumezipanga kwa makundi ili zisiharibike muda wa matumizi

Mfano suruali zinakaa peke yake,gauni peke yake,casual,skirts,za ndani nk inshort kila aina ipo separate

shuka white na bright colors with mixed patterns
 
Auntie usione sijaongelea kitanda mwenzanguuuu nalalaga chini kama wa Seoul vile,wakija wageni nasingizia maagizo ya dokta kunyoosha mgongo
 
Watu tupo tofauti, Mimi raqha yangu ni kupanga nguo, nikijiona zangu nipo down naenda kabatini nashusha nguo zote naanza kuzipanga upya huku nazijaribisha, najiangalia kwenye kioo huku nimeweka mziki wangu nacheza cheza, nikimaliza hapo, eeeh' mwepesi na huzuni moyoni imepungua..!

Shuka jeupe ni favorite, hapa nimetandika shuka jeupe na kimtandio kwa juu nabiringita zangu kitandani kwa amani maana najua halichafuki..! 😂
 
Lol😃
Napenda kupanga once in a while
Hivyo i make sure zikishafuliwa zinakunjwa kabisa ili zikae in order na zingine
Hata kutafuta nguo ya kuvaa inakua rahisi
 
Back
Top Bottom