Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
Kupanga napanga vizuri kabisa.. Ila kile kitendo cha kuanza kujaribisha nguo nakipeeenda, naanza kupangilia hata nguo ambazo haziendani navaa najitazama kwenye kioo, najaribu zangu catwalk chubby mie naishia kujicheeeka, basi ndiyo namna yangu ya kutoa stress..Lol😃
Napenda kupanga once in a while
Hivyo i make sure zikishafuliwa zinakunjwa kabisa ili zikae in order na zingine
Hata kutafuta nguo ya kuvaa inakua rahisi