Kupanga napanga vizuri kabisa.. Ila kile kitendo cha kuanza kujaribisha nguo nakipeeenda, naanza kupangilia hata nguo ambazo haziendani navaa najitazama kwenye kioo, najaribu zangu catwalk chubby mie naishia kujicheeeka, basi ndiyo namna yangu ya kutoa stress..Lol๐
Napenda kupanga once in a while
Hivyo i make sure zikishafuliwa zinakunjwa kabisa ili zikae in order na zingine
Hata kutafuta nguo ya kuvaa inakua rahisi
[emoji23][emoji23][emoji23]tuko wenginabadili shuka kila baada ya siku tatu , hakuna kitu nakereka kama kupanga nguo kabatini,na hata nikipanga nitataka kuvaa nguo ya chini hivo saa nyingine unakuta nguo iko mwisho karibu na ukuta wa kabati nazivurugua zote muda wa kuchakura sina nikiipata navaa nikija kupanga tena mwendo ni huohuo
halafu muda mwengine najisemea ngoja hii ikae juu sjivaa muda yan siku nayokuja kutafta nguo hata skumbuki kama kuna nguo iko juu haijavaliwa muda nitazitupa chini nikishaipata narudisha nguo kama zimetoka shimoni siku nikiwa na muda nitapas nguo nayotaka ntavaa nikiwa na muda tena ndio napanga na sjui ni kwa nini hua hivo[emoji23][emoji23][emoji23]tuko wengi
[emoji23][emoji23]Mimi Kama wewe tu hatuchekani wakati natafta nguo hushusha kabati zima natafta nguo ya kuvaa siioni na ninazo nyingi kweli, sikuhizi kabati silitilii maana kabisa nguo nyingi Bora nimeweka kwa begi huko sivurugi Sana, na kabatini huwa namubembeleza mdogo wangu anipangie Ila nilipata safari nafurumua zote Hadi alishakata tamaa.halafu muda mwengine najisemea ngoja hii ikae juu sjivaa muda yan siku nayokuja kutafta nguo hata skumbuki kama kuna nguo iko juu haijavaliwa muda nitazitupa chini nikishaipata narudisha nguo kama zimetoka shimoni siku nikiwa na muda nitapas nguo nayotaka ntavaa nikiwa na muda tena ndio napanga na sjui ni kwa nini hua hivo
๐๐๐๐ sio mchezo[emoji23][emoji23]Mimi Kama wewe tu hatuchekani wakati natafta nguo hushusha kabati zima natafta nguo ya kuvaa siioni na ninazo nyingi kweli, sikuhizi kabati silitilii maana kabisa nguo nyingi Bora nimeweka kwa begi huko sivurugi Sana, na kabatini huwa namubembeleza mdogo wangu anipangie Ila nilipata safari nafurumua zote Hadi alishakata tamaa.
Upo viZuri...sijawai nyoosha shuka...kwanza kunyoosha sipendi..nanyooshaga TU basiMimi napenda sana kitanda yani bora nisipange nguo ila kitanda changu kiwe smart natandika shuka langu lolote lile japo napenda sana jeupe as I said natandika kitandani hadi linyoke vizuri naakikisha kila pembe ya kitanda imekaa sawa nachukua pasi naanza kunyoosha shuka kitanda kizima na kitanda changu always kinaegemea kwenye main switch ili niweze kunyoosha shuka langu vizuri kabisa
Tupo the same dea.Mpangilio ni muda wote
Order brings peace of mind
Tumezipanga kwa makundi ili zisiharibike muda wa matumizi
Mfano suruali zinakaa peke yake,gauni peke yake,casual,skirts,za ndani nk inshort kila aina ipo separate
shuka white na bright colors with mixed patterns