Uchaguzi 2020 Ili uweze kuwa kiongozi wa Taifa lolote hapa Duniani ni lazima uwe na uungwaji mkono na kamati ya Ulinzi na Usalama ya Taifa husika

Naongezea hapo siyo kikaragosi tu bali mjinga yoyote yule ambaye hajulikani anakoelekea wala anakotokea.
 
Huu ni ujinga wako msipotoshwe na kibaraka huyu hakuna ukweli wowote.
 
Shida kubwa ya Watanzania mambo yetu ni ya Kufikirika na Kidhanifu yote. Yaani tunadhani kila nchi inafanana na mfumo wa ovyo kama wetu.

Hao wote uliotaja leo ikitokea machafuko watatoa Amri na hakuna atakayetii hata mmoja. Mabeyo ataongea na Luteni usu tu atamnyooshea dole la Kati
 
Kwa hiyo tunavyo piga kura hiyo kamati inatuchabo tuu,basi wawe Wana tutangazia tuu kuwa wamempa nani hao kamati!!!
Ila safari hii tuna anza kwenye box la kura then hiyo kamati ikituchanganya tuna lala nayo mbele tupo ready kuwa tiketi zao za kwenda ze hegiii!!!

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
It is only in Tanzania ndio kuna ujinga kama.huo
 
Mtajua hamjui mwaka huu
 


HAO WOTE NI MAKADA WA CCM KINDAKINDAKI UNATEGEMA NINI?
 
Sasa unajuaje kama hawamuungi mkono yule wa upinzani?kumbuka moyo ni kiza kinene
 
U-IGP ni cheo cha kudumu kwamba kuna ankimiliki kama Mali yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…