Ili uzi udumu muda mrefu humu kuna vigezo gani?

Ili uzi udumu muda mrefu humu kuna vigezo gani?

Michael mbano

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2022
Posts
820
Reaction score
570
Jana nimeweka uzi humu nikihoji kwanini ofisi nyingi za ujenzi kwenye wilaya au manispaa hazipo ktk mwonekano mzuri? Kuanzia majengo. Je serikali haioni?
 
Uzi usomwe, na kigezo cha kusoma ni mvuto wa heading plus contents vinginevyo unasogezwa chini chini hadi unakufa kabisa.

By the way mambo ya local governments it's non intrested issues.
 
Jana nimeweka uzi humu nikihoji kwanini ofisi nyingi za ujenzi kwenye wilaya au manispaa hazipo ktk mwonekano mzuri?Kuanzia majengo.Je serikali haioni?
Kama huu ndio uandishi wako basi jikite kusoma nyuzi za wengine hadi uwe matured.
 
Kitu kingine,jua uwezo wako,kuna watu wazuri sana kwenye kuanzisha mada zenye mvuto lakini sio wachangiaji wazuri.
Kuna wachangiàji wazuri wa maoni lakini sio wazuri kwenye kuanzisha uzi.
Kuna wenye uwezo wA vyote vyenye mvuto.
Kuna ambao hawawezi kutoa chochote chenye mvuto.
Kuna wasomaji tu.

Sasa jipime uko kwenye kundi gani kisha ubaki humo.
Vinginevyo huta enjoy forums .
 
Kwa sasa Ukimsifia Magufuli tu uzi utajaa Vilaza wasio mpenda Mwendazake na watakuja jibu wanao mpenda na Utadumu .
 
Back
Top Bottom