Ili ya-Kanumba ya sikukute sasa nunua HELMET...

Ili ya-Kanumba ya sikukute sasa nunua HELMET...

Sabung'ori

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2011
Posts
2,166
Reaction score
1,247
...nadhani sasa ktk mauhusiano ya kimapenzi imefika mahala tuongeza hiki kifaa kinachoitwa Helment ili kujikinga na mathala makubwa yanayoweza kutokea ktk mikwaluzano ya kimapenzi...KAMA KWELI UNAMPENDA UTAMLINDA KWA KONDOM NA UTAJIKINGA KWA HELMENT....
 
We ukinioa utakubali nilale na Helmet? Kama ndo hivyo nafasi yako ikn wazi mkuu!
 
Back
Top Bottom