Ilianza vikuku sasa ni kutoboa pua na vipini

Meshacky Allyson

Senior Member
Joined
Oct 29, 2020
Posts
127
Reaction score
251
Wakuu, salamu,

Jambo linalonileta kwenu ni hayo inayoendelea sasa, zamani kdg nilianza kushangaaa idadi ya wadada kuvaa vikuku mguuni ikiongezeka sikuelewa ni nn, maana nachojua ni wamasai mara nyingi huwa ndio culture yao..,

Sasa now dayz limeanza wimbi kubwaa la wadada kutoboa pua ni kama vile wanaambiana yaan sielewi ni nn. Maana yake, wakuu hebu nipeni ufafanuzi nn maana yake kama una uzoefu wowote wa wadada wenye mabo ya aina hiyo, tupe muongozo...

Maana naona tunakoelekea siko [emoji22][emoji24]
 
Wakuu , salamu , jambo linalonileta kwenu ni hayo inayoendelea sasa , zamani kdg nilianza kushangaaa idadi ya wadada kuvaa vikuku mguuni ikiongezeka sikuelewa ni nn , maana nachojua ni wamasai mara nyingi huwa ndio culture yao.. , sasa now dayz limeanza wimbi kubwaa la wadada kutoboa pua ni kama vile wanaambiana yaan sielewi ni nn. Maana yake , wakuu hebu nipeni ufafanuzi nn maana yake kama una uzoefu wowote wa wadada wenye mabo ya aina hiyo , tupe muongozo...

Waache warembo watambe na fashion zao mkuu
 
Bora hata wanawake ni urembo na wanaume wavaa vipini je?
Screenshot_20220804-204251.jpg
 
Wakuu , salamu , jambo linalonileta kwenu ni hayo inayoendelea sasa , zamani kdg nilianza kushangaaa idadi ya wadada kuvaa vikuku mguuni ikiongezeka sikuelewa ni nn , maana nachojua ni wamasai mara nyingi huwa ndio culture yao.. , sasa now dayz limeanza wimbi kubwaa la wadada kutoboa pua ni kama vile wanaambiana yaan sielewi ni nn. Maana yake , wakuu hebu nipeni ufafanuzi nn maana yake kama una uzoefu wowote wa wadada wenye mabo ya aina hiyo , tupe muongozo...
Maana naona tunakoelekea siko [emoji22][emoji24]
Last Sunday nimekutana mwanaume Sinza karibu na KKKT pale barabarani naye kawaiga, nahisi kuna mashindano yanaendelea ila wengi hatujui
 
Kwani kuna shida gani mwanamke kujiremba? Binafsi nna tobo moja moja sikioni siwezi kuongeza matobo mengine😀😀 ila vikuku navipenda na nnavaa regardless tafsiri za walimwengu🥰
 
Mwanaume trying to police women says more about you kuliko hao wanawake wenyewe. Jambo halikuhusu linakuwashia nini?
 
Nature ya mwanamke ni mapambo mwanamke ameumbwa kutambulika kwa thamani,urembo,kuvutia ndo maana wakaumbiwa sauti laini laini ya mayai

Nature ya mwanaume ni kuwa ngangariii yaani kuonesha uwezo,sura ngumu ,misuli misuli ,mtu wa kazi sema kuna wanaume ckuizi wanatamani kuwa warembo

Mwanaume ameumbwa kutambulika kwa uwezo

Kwahyo waache wanawake wawaze vitu vyepesi vyepesi tu vya kujipamba,kujiremba na kununua maua maana ndo asili yao
 
Wakuu , salamu , jambo linalonileta kwenu ni hayo inayoendelea sasa , zamani kdg nilianza kushangaaa idadi ya wadada kuvaa vikuku mguuni ikiongezeka sikuelewa ni nn , maana nachojua ni wamasai mara nyingi huwa ndio culture yao.. , sasa now dayz limeanza wimbi kubwaa la wadada kutoboa pua ni kama vile wanaambiana yaan sielewi ni nn. Maana yake , wakuu hebu nipeni ufafanuzi nn maana yake kama una uzoefu wowote wa wadada wenye mabo ya aina hiyo , tupe muongozo...
Maana naona tunakoelekea siko [emoji22][emoji24]
Umewahi ishi Mtwara, uku mwanamke kutoboa pua ni kawaida si mjini hadi vijijini
 
Mbona swala la urembo wa kawaida tu linakutatiza avae kikuku atoboe pua atoboe ulimi chini ya mdomo kwenye nyusi bado ni mwanamke na ni pambo la ndani hivyo sio dhambi kujiremba.
 
Back
Top Bottom