Ilianza vikuku sasa ni kutoboa pua na vipini

Ilianza vikuku sasa ni kutoboa pua na vipini

Ukitoboa pua nakua nakuona kama una kamasi hivi najisahau nakua natamani nikuambie ujifute puani.
 
Wakuu , salamu , jambo linalonileta kwenu ni hayo inayoendelea sasa , zamani kdg nilianza kushangaaa idadi ya wadada kuvaa vikuku mguuni ikiongezeka sikuelewa ni nn , maana nachojua ni wamasai mara nyingi huwa ndio culture yao.. , sasa now dayz limeanza wimbi kubwaa la wadada kutoboa pua ni kama vile wanaambiana yaan sielewi ni nn. Maana yake , wakuu hebu nipeni ufafanuzi nn maana yake kama una uzoefu wowote wa wadada wenye mabo ya aina hiyo , tupe muongozo...
Maana naona tunakoelekea siko [emoji22][emoji24]

Unataka ugundue nini
 
Ni urembo tu, ila hapa ndio huwa siwaelewi tu🐒

20220804_225845.jpg
 
Haina ubaya ila ni stereotypical ideas ambazo tumejijazia... mimi nkimuona mwanamke katoboa pua huwa nahis ni wale waswahili sana probably siko sahihi ila

Inabid nichukue muda kidg ni adjust na mtazamo
 
Haina ubaya ila ni stereotypical ideas ambazo tumejijazia... mimi nkimuona mwanamke katoboa pua huwa nahis ni wale waswahili sana probably siko sahihihi ila

Inabid nichukue muda kidg ni adjust na mtazamo
Sure bro like me ndivyo navyoona yaan uswahili sanaa..
 
Hawa wanawake wa sikuhiz NI VYOMBO VYA STAREHE TU, ukimaliza haja zako unamdampo akafie mbele na fashion zake za kipumbav...
 
Back
Top Bottom