Hongera sanaMaharage yenyewe ndio hayo.View attachment 2616652View attachment 2616653View attachment 2616654View attachment 2616655
Jazia nyama bado haujaeleweka vema juu ya yaliyokusibuNililima maharage mwanzo mwishoni mwa mwezi wa tatu wilayani Hanang, baada ya hapo mvua zikaanza kunyesha mfululizo na ardhi niliyopanda ni mbuga nyeusi.
Yaani maharage yalitaka kuniacha nayaona hivi ila nashukuru Mungu amemipa maarifa ya kuyapambania
Yaani maharage yalizidiwa na maji hivyo kuanza kusinyaa kwa ajili ya baridi. Na sehemu zinazolala maji yalinyauka kabisa. Hivyo ilibidi kila wakati ni kupiga dawa ya kupambana na ukungu na baridi kwenye maharageJazia nyama bado haujaeleweka vema juu ya yaliyokusibu
Mkuu mbona wewe maharage yako yako vizuri hivi? Mimi nilipanda maharage karibu na mto; maji yalipofurika yakajaa shambani, nusu ya maharage imekufa nikapanda upya na kupiga booster kisha nikaweka mbolea. Sasa hivi yanaendelea vizuri. Kilimo ni pasua kichwa mkuu.Maharage yenyewe ndio hayo.View attachment 2616652View attachment 2616653View attachment 2616654View attachment 2616655
Hongera sana😌Maharage yenyewe ndio hayo.View attachment 2616652View attachment 2616653View attachment 2616654View attachment 2616655
Yaani hapo mkuu kila baada ya siku tano nipo shambani na booster & dawa ya baridi na ukunguMkuu mbona wewe maharage yako yako vizuri hivi? Mimi nilipanda maharage karibu na mto; maji yalipofurika yakajaa shambani, nusu ya maharage imekufa nikapanda upya na kupiga booster kisha nikaweka mbolea. Sasa hivi yanaendelea vizuri. Kilimo ni pasua kichwa mkuu.
Nipasua kichwa lakini ukivumilia mwaka kitakaokubari unasahau shida zako. Yaani mwaka mmoja tu ukiwa umelima kuanzia ekari kumi na kuendelea unaweza kuuga ufukara kama mazao yamekubari.Mkuu mbona wewe maharage yako yako vizuri hivi? Mimi nilipanda maharage karibu na mto; maji yalipofurika yakajaa shambani, nusu ya maharage imekufa nikapanda upya na kupiga booster kisha nikaweka mbolea. Sasa hivi yanaendelea vizuri. Kilimo ni pasua kichwa mkuu.
Hapo sawa pambana shambani mzee baba huko ndipo kwenye maliNi heka tatu nilikuwa nafanya majaribio ya kilimo cha umwagiliaji kwani kuna kisima nimechimba pembeni.
Na stress [emoji23]Hapo sawa pambana shambani mzee baba huko ndipo kwenye mali
Hongera Mkuu,Maharage yenyewe ndio hayo.View attachment 2616652View attachment 2616653View attachment 2616654View attachment 2616655
Hapo sawa kiongozi maana ukanda huo kuna baridi usipofanya hivyo utavuna mabua.Yaani hapo mkuu kila baada ya siku tano nipo shambani na booster & dawa ya baridi na ukungu