Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namna ulivyoyapambania.Nililima maharage mwanzo mwishoni mwa mwezi wa tatu wilayani Hanang, baada ya hapo mvua zikaanza kunyesha mfululizo na ardhi niliyopanda ni mbuga nyeusi.
Yaani maharage yalitaka kuniacha nayaona hivi ila nashukuru Mungu amemipa maarifa ya kuyapambania
msimu huu naona mazao yamakwenda vizuri, nasubiri kununua shambaniHuu mwandiko wa mdau wangu huu,. Hahaahaa
Na hivyo ana kisima No stress in deedNa stress [emoji23]
Kwasisi tulio pitapita pale quba tumesha muelewa mleta mada "anatulingishia shamba lake kwa jinsi lilivyo nawiri"....😊☺Jazia nyama bado haujaeleweka vema juu ya yaliyokusibu
Hiyo ni tafsiri yako ila Mimi nia yangu ni kuwapa moyo wakulima wenzangu kuwa japo kunaweza kuwa na hali mbaya ya hewa lakini bado unatakiwa kupambana to the maximumKwasisi tulio pitapita pale quba tumesha muelewa mleta mada "anatulingishia shamba lake kwa jinsi lilivyo nawiri"....[emoji4][emoji5]
Nikiwa mkweli hata nami umeni inspire sana, and kwa dhati nakupongeza sana hata hapo ulipo fanikiwa na Mungu azidi kuzibariki kazi za mikono yako...🙏Hiyo ni tafsiri yako ila Mimi nia yangu ni kuwapa moyo wakulima wenzangu kuwa japo kunaweza kuwa na hali mbaya ya hewa lakini bado unatakiwa kupambana to the maximum
Asante mkuu kwa taarifaHakuna sumu ya hivyo mkuu maana hapo kuna mchanganyiko wa mazao tayari
Naomb kuelimishwa kuhusu dawa za baridi,wengine tumekulia kwenye kilimo hai...mwaga mbolea ya wanyama unapiga mahindi,mtama nk .Na stress [emoji23]