barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Nyie mlicheza na wauza pweza ndo maana hampigi kelele mkashinda kwa msaadaYanga jana mmecheza na wavuvi wa pweza kisha mnatupigia kelele humu
Nyie mbona mmecheza na ngisi mmeshindwa kumla kwa madahaYanga jana mmecheza na wavuvi wa pweza kisha mnatupigia kelele humu
We ulicheza na timu? Mashabik wasimba mnaboa sana na bado subr zam yako ifke Feb ndo utajua mjuc na kenge nan mwenye powerHivi ile timu nayo?? Afadhari hata kilungule Fc.
Mkuu kwanini hawa yanga wanawafanyia watu vitu vya namna hiiWalichokifanya Jana Yanga tayari shirika la haki za binadamu litatoa kauli nzito hivi karibuni. Ata rais mteule wa Marekani ametishia kufuta ziara ya Yanga nchini mwake maana anaogopa maafa, na amesema Msuva na Ngoma ni silaha hatari za maangamizi na lazima uitishwe mkutano wa haraka wa kukemea matumizi ya Silaha Msuva na Silaha Ngoma.
Ni mdudu ambae akikuta shimo anazama haangalii hili kubwa au dogo,hata msimbazi linaweza ingia,kila kitundu ni haki yakeYanga ndo mdudu gani kwani?
Jecha hajayafuta hayo matokeo?Jecha kafanya yake,matokeo ya Yanga 6 Jamuhuri 0,yamefutwa maana Yanga,aka wa kimataifa walichezesha mchezaji mwenye mimelea vya Kibrazil.
Walitoa kauli mabaya na hatari sana kuwahi kutokea katika medani za mchezo wa mpira wa miguu hapa tz, baada ya kuwaambia raia 6 wa Jamuhuri kwamba kila raia abebe msalaba wake. Kiukweli inaumiza sana yani pamoja na suruba ya matetemeko ya mashuti yote lakini bado tuwamefanya nini kwani?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Walitoa kauli mabaya na hatari sana kuwahi kutokea katika medani za mchezo wa mpira wa miguu hapa tz, baada ya kuwaambia raia 6 wa Jamuhuri kwamba kila raia abebe msalaba wake. Kiukweli inaumiza sana yani pamoja na suruba ya matetemeko ya mashuti yote lakini bado tu
Kiukweli "god see them"
wameyataka wenyewe. wao wanakula urojo huko zenji, wanataka kucheza na yanga wanaokula ugali? safi sana yanga.Kwa kweli kila nikisema ninyamaze roho inakataa,nimeona nisikae na kitu kikaniuma,imeniuma sana,imenisikitisha sana,hakika yanga wanastahili adhabu kali sana,watu gani hawana huruma nabinadam wenzao?roho mbaya hii wameitoa wapi?wameanza lini kula vitu kwa pupa?kwa lile gharika la jana ambalo pengine halikuwahi kutokea kwa nchi yetu karne za karibuni sitashaghaa yanga wakilamba adhabu kali.
Mmmh hana ukali huoNi mdudu ambae akikuta shimo anazama haangalii hili kubwa au dogo,hata msimbazi linaweza ingia,kila kitundu ni haki yake
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Walichokifanya Jana Yanga tayari shirika la haki za binadamu litatoa kauli nzito hivi karibuni. Ata rais mteule wa Marekani ametishia kufuta ziara ya Yanga nchini mwake maana anaogopa maafa, na amesema Msuva na Ngoma ni silaha hatari za maangamizi na lazima uitishwe mkutano wa haraka wa kukemea matumizi ya Silaha Msuva na Silaha Ngoma.
Wale waliofungwa na Simba wavuvi wa ngishi?Yanga jana mmecheza na wavuvi wa pweza kisha mnatupigia kelele humu
Kwani kuna siku walikuambia wanashida na ule uchafu,wanachofanya wakimataifa ni kwenda kutoa burudan kwenye sherehe ya mapinduzi pamoja na kufundisha watu mpira.Visonoko wakishinda kelele.Wakifungwa utasikia ohh kombe la mbuzi hatulitaki.
dash mkuu ummemjibu sahihi,hatuna presha na kombe la mbuzi,ILA tunatoa burudani na kuwafundisha watu sokaKwani kuna siku walikuambia wanashida na ule uchafu,wanachofanya wakimataifa ni kwenda kutoa burudan kwenye sherehe ya mapinduzi pamoja na kufundisha watu mpira.
Mkuu achana nae avatar yake yenyewe inatisha, mtu mwenye akili timamu hawezi tumia avatar kama ile..mashabiki wa simba wote akili zao zoteee wameshikiwaWale waliofungwa na Simba wavuvi wa ngishi?