Ilichokifanya Yanga jana ni dhambi kubwa

Walichokifanya Jana Yanga tayari shirika la haki za binadamu litatoa kauli nzito hivi karibuni. Ata rais mteule wa Marekani ametishia kufuta ziara ya Yanga nchini mwake maana anaogopa maafa, na amesema Msuva na Ngoma ni silaha hatari za maangamizi na lazima uitishwe mkutano wa haraka wa kukemea matumizi ya Silaha Msuva na Silaha Ngoma.
 
Mkuu kwanini hawa yanga wanawafanyia watu vitu vya namna hii
 
wamefanya nini kwani?
Walitoa kauli mabaya na hatari sana kuwahi kutokea katika medani za mchezo wa mpira wa miguu hapa tz, baada ya kuwaambia raia 6 wa Jamuhuri kwamba kila raia abebe msalaba wake. Kiukweli inaumiza sana yani pamoja na suruba ya matetemeko ya mashuti yote lakini bado tu
Kiukweli "god see them"
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kwa kweli kila nikisema ninyamaze roho inakataa,nimeona nisikae na kitu kikaniuma,imeniuma sana,imenisikitisha sana,hakika yanga wanastahili adhabu kali sana,watu gani hawana huruma nabinadam wenzao?roho mbaya hii wameitoa wapi?wameanza lini kula vitu kwa pupa?kwa lile gharika la jana ambalo pengine halikuwahi kutokea kwa nchi yetu karne za karibuni sitashaghaa yanga wakilamba adhabu kali.
wameyataka wenyewe. wao wanakula urojo huko zenji, wanataka kucheza na yanga wanaokula ugali? safi sana yanga.
 
Walichokifanya Jana Yanga tayari shirika la haki za binadamu litatoa kauli nzito hivi karibuni. Ata rais mteule wa Marekani ametishia kufuta ziara ya Yanga nchini mwake maana anaogopa maafa, na amesema Msuva na Ngoma ni silaha hatari za maangamizi na lazima uitishwe mkutano wa haraka wa kukemea matumizi ya Silaha Msuva na Silaha Ngoma.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Visonoko wakishinda kelele.Wakifungwa utasikia ohh kombe la mbuzi hatulitaki.
 
Kwani kuna siku walikuambia wanashida na ule uchafu,wanachofanya wakimataifa ni kwenda kutoa burudan kwenye sherehe ya mapinduzi pamoja na kufundisha watu mpira.
 
dash mkuu ummemjibu sahihi,hatuna presha na kombe la mbuzi,ILA tunatoa burudani na kuwafundisha watu soka
 
Wale waliofungwa na Simba wavuvi wa ngishi?
Mkuu achana nae avatar yake yenyewe inatisha, mtu mwenye akili timamu hawezi tumia avatar kama ile..mashabiki wa simba wote akili zao zoteee wameshikiwa
 
Back
Top Bottom