Mamio ndio katushikia.Mkuu achana nae avatar yake yenyewe inatisha, mtu mwenye akili timamu hawezi tumia avatar kama ile..mashabiki wa simba wote akili zao zoteee wameshikiwa
Ni kweli aisee! Hata wazungu wengi wanajua kuwa tanzania kuwa mbuga nyingi sana za wanyama...kiasi kwamba ni vigumu sana kubisha uwepo wa Simba...hivi yanga ndio nini hebu tuambiane
maana Mimi Niko huku misri wanajua Tanzania kuna Simba na Taifa starz tu.
FT: Sisi 1 Wao 0Mkuu achana nae avatar yake yenyewe inatisha, mtu mwenye akili timamu hawezi tumia avatar kama ile..mashabiki wa simba wote akili zao zoteee wameshikiwa
Unaona eeh, yametimia! Baada ya hatima ya mikia fc kujulikana, Mkuu sembo kajitokeza kama ilivyotabiriwa.FT: Sisi 1 Wao 0
Ndio maana banned.Yanga jana mmecheza na wavuvi wa pweza kisha mnatupigia kelele humu
Hizi kauli zimeanza kujitokeza mapema sanaSikua eneo rafiki
mikia nawasalimu huko mlipoFT: Sisi 1 Wao 0
Kaka nadhani upo namm sasa idadi ya magoli inapungua pole Pole kulingana na hali ya gemu na malengo ya badge.Leo kocha kajaribu kila mchezaji na ndio inavyotakiwa katika hatua hizi.Muhimu ni ushindi tuwadudu na wanyama hawakai mjini mkuu....
leo ilikua ni viungo na mabek tu,forward zote tumeziweka bench kwa muda wa siku mbili kusubilia wauza juisiKaka nadhani upo namm sasa idadi ya magoli inapungua pole Pole kulingana na hali ya gemu na malengo ya badge.Leo kocha kajaribu kila mchezaji na ndio inavyotakiwa katika hatua hizi.Muhimu ni ushindi tu
Nilitamani yule jamaa wa kufuta matokeo angeyafuta na yale maana tulikuwa kwenye zone yake kiutawala. Yanga wana roho mbaya sana ila zile ni salamu tu kwa wale wanaojidai wao ndio wanajua soka then wanajifunga wenyewe.
[emoji196] fc nipe matokeo!leo ilikua ni viungo na mabek tu,forward zote tumeziweka bench kwa muda wa siku mbili kusubilia wauza juisi
Ngoja niwasaidie ARBA mtungi.[emoji196] fc nipe matokeo!