Ilichokifanya Yanga jana ni dhambi kubwa

Ilichokifanya Yanga jana ni dhambi kubwa

hivi yanga ndio nini hebu tuambiane

maana Mimi Niko huku misri wanajua Tanzania kuna Simba na Taifa starz tu.
Ni kweli aisee! Hata wazungu wengi wanajua kuwa tanzania kuwa mbuga nyingi sana za wanyama...kiasi kwamba ni vigumu sana kubisha uwepo wa Simba...
 
wadudu na wanyama hawakai mjini mkuu....
Kaka nadhani upo namm sasa idadi ya magoli inapungua pole Pole kulingana na hali ya gemu na malengo ya badge.Leo kocha kajaribu kila mchezaji na ndio inavyotakiwa katika hatua hizi.Muhimu ni ushindi tu
 
leo ilikua ni viungo na mabek tu,forward zote tumeziweka bench kwa muda wa siku mbili kusubilia wauza juisi
 
Nilitamani yule jamaa wa kufuta matokeo angeyafuta na yale maana tulikuwa kwenye zone yake kiutawala. Yanga wana roho mbaya sana ila zile ni salamu tu kwa wale wanaojidai wao ndio wanajua soka then wanajifunga wenyewe.

Matokeo ya Azam yafutwe?
 
Nasikia yamefutwa mechi inarudiwa kesho. ARBA hazikubaliki.
 
Back
Top Bottom