Ilikua ni makosa kuipanua EAC nje ya Tanzania , Kenya na Uganda.

Ilikua ni makosa kuipanua EAC nje ya Tanzania , Kenya na Uganda.

Shida ya Wanyarwanda na hasa Watusi, ni kupenda kujiona wao ni special race! Na hili litakuwa tatizo kubwa kwenye enelo la Maziwa makuu kama wataachwa waendelee na huu mtazamo wao hasi.
 
Naunga mkono hoja! Mpaka leo faida ya hii jumuia siioni.
Naona kilichobaki ni kugawana mbao kila nchi ifanye mambo yake kivyake!
 
Back
Top Bottom