Ilikuaje hadi Yanga akafungwa 5-0 na Simba?

Nini kilijiri siku hiyo hadi ikapelekea Yanga wakachabangwa goli 5-0 dhidi ya Simba?

Je Yanga waliingiza kikosi dhaifu? Je Simba walikuwa na kikosi imara? Au Yanga walikosea masharti ya mganga?

Karibuni kwa mjadala...
Tega sikio na leo, kwani Yanga wenyewe wanasemaje
 
Tulia Wewe Sisi Ndiyo Tunaojua
Alisikika Mwakalukwa
 
Ah kumbe..! Basi Mzee Msola Kimeumana afanyiwe zengwe kama la Mchunga watu wamechoka kukosa Ubingwa muda mrefu
 
Ilikuwaje hadi Yanga akachukua kombe mara nyingi zaidi katika ligi kuu

Je simba walikuwa daraja la kwanza?, je simba walikuwa wakichezesha wanafunzi wa shule ya msingi?

Karibuni tukumbushane..
Nadhani kwa sasa swali lako limeshajibiwa kuwaa kila kitu ni wakati tuu
 
Na ilikuwaje Yanga akafumuliwa 4 - 1 na Simba kwenye nusu fainali ya kombe la shirikisho mwaka jana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…