Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
Tega sikio na leo, kwani Yanga wenyewe wanasemajeNini kilijiri siku hiyo hadi ikapelekea Yanga wakachabangwa goli 5-0 dhidi ya Simba?
Je Yanga waliingiza kikosi dhaifu? Je Simba walikuwa na kikosi imara? Au Yanga walikosea masharti ya mganga?
Karibuni kwa mjadala...