Ahaa kwa hiyo wale wa kaskazini ni masalia ya waarabu?Biashara ya utumwa sana ili shamiri sana sudani na Wafanyabiashara wakubwa au mawakala wa biashara ya utumwa ni waarabu na ndio maana wao walipenda eneo la kaskazini kutokana na hali ya joto.
Na kusini hali ya hewa ni ya ubaridi.
Swali lipo sema tu hujajua jibu. Ukienda Zanzibar, Tabora, Singida utakutana na weusi wa kutosha. Yani huwezi mwambia mtu kutoka Senegal akwambie Zanzibar kuna watu gani akakwambia ni weupe tu, lakini ukiuliza yeyote Sudan Kaskazini kuna watu gani atakwambia weupe.Hakuna swali mkuu ,kama Mbulu weupee peee , singida weepe peee , tabora wanayamwezi weupe peee ,zanzibar wapemba weeupe peeee!!
Unataka kuniamba Sudani kusini hakuna halfcast/Shombe shombe? Unataka kuniambia Sudani kusini 100% ni weusi?Swali lipo sema tu hujajua jibu. Ukienda Zanzibar, Tabora, Singida utakutana na weusi wa kutosha. Yani huwezi mwambia mtu kutoka Senegal akwambie Zanzibar kuna watu gani akakwambia ni weupe tu, lakini ukiuliza yeyote Sudan Kaskazini kuna watu gani atakwambia weupe.
Kabisa mkuu na hili ndilo ninalozungumzia.Swali lipo sema tu hujajua jibu. Ukienda Zanzibar, Tabora, Singida utakutana na weusi wa kutosha. Yani huwezi mwambia mtu kutoka Senegal akwambie Zanzibar kuna watu gani akakwambia ni weupe tu, lakini ukiuliza yeyote Sudan Kaskazini kuna watu gani atakwambia weupe.
Hapa ndio nataka kuja ilikuaje kuaje mpaka ikawa hivo, au hao waarabu ni walowezi?Hii hapa angaliaView attachment 1511651
mbona libya imepakana na CHAD na NIGER alikuwa haiko kama sudan? au Algeria iliyopakana na Mali pamoja na NigerKaskazini ipo zaidi kwa waafrica wa kaskazini ambao ni waarabu ama cushites, ukishuka chini unakutana na jamii za watu weusi kama Ug, Tz na kenya.
Naona ni mambo ya mpaka wa makazi na asili za kijamii zaidi mfano Tz kaskazini wengi ni warefu ila ukiingia kusini unakuta watu ni wafupi.. ukifuatisha bonde la ufa toka arusha hadi dodoma utakuta watu ni weupe ukitofautisha na maeneo mengine
Jamaa nae ni muarabu? Hivi alimalizia ile story?Watakuja kukujibu kina Habibu B. Anga
Kama vpande vya keki[emoji28][emoji28]Berlin Conference sijui Kama walijali habari ya kuweka mipaka kwa kuzingatia rangi.Walitugawa Kama vipande vya keki kwa vigezo walivyowekeana wenyewe..
mbona libya imepakana na CHAD na NIGER alikuwa haiko kama sudan?