mkuu unaona hao wanafanana na wasudan kusini?Mkuu mada hii umeiandika kwa dhana.
Picha ya rais aliyepinduliwa Omar al Bashiri ni mweupe yule?
Je baraza linaloongoza serikali ya mpito umeona picha zao ni weupe wale?
Weusi na majiyakunde kama wasomali utasemaje weupe pee!
Hawafanani, isipokuwa wao N.Sudan wamebeba sura za kisomali. Twaweza kusema ni maji ya kunde ama weusi, lakini siyo weupe.mkuu unaona hao wanafanana na wasudan kusini?
Sudan ilikuwa ni nchi moja kabla ya kugawanyika na kuwa nchi mbili hivi karibuni. Sasa binafsi nashangazwa kidogo kwa namna hii nchi ilivokuwa yaani kule kaskazini raia wa kule ni weupe peee mpaka nywele zao ambazo ni ndefu kama waarabu halafu wa kusini ni weusi tiiii nadhani Afrika nzima ndio wanaongoza kwa weusi.
Ilikuaje ikawa hivi?
Au wale wa kaskazini ni walowezi? Maana hawafanani hata kidogo japo ilikuwa nchi moja.
Ni wakoloni tu walivyoweka mipaka, wakachanganya weusi na weupembona libya imepakana na CHAD na NIGER alikuwa haiko kama sudan? au Algeria iliyopakana na Mali pamoja na Niger
south sudan hawa weusi?
Ndio hiyo na wanaongea kiarabu vizuri tu. wako wanasoma vyuo Misri na wamejaa tu mi nilivyowaona ikabidi niulize wenyeji ndio wakanijibu kuwa before wakoloni waje ilikuwa nchi moja
kwa hiyo wa kaskazini ni wahamiaji?
Navyojua south ni wakristo na hawaongei kiarabu, halafu washamba washamba na sio wastaarabu kabisa wale jamaa.
Nadhan ni mambo ya utumwa! Pengine kuna watumwa walichukiliwa Ugandan miaka ming iliyopita wakapelekwa huko kufanyishwa kazi, then wakazaana. Hata hivyo waarabu wa Sudan kaskazin sio kiviiiile....Ni kama waarabu wale wa nzega na bukene tuuuSudan ilikuwa ni nchi moja kabla ya kugawanyika na kuwa nchi mbili hivi karibuni. Sasa binafsi nashangazwa kidogo kwa namna hii nchi ilivokuwa yaani kule kaskazini raia wa kule ni weupe peee mpaka nywele zao ambazo ni ndefu kama waarabu halafu wa kusini ni weusi tiiii nadhani Afrika nzima ndio wanaongoza kwa weusi.
Ilikuaje ikawa hivi?
Au wale wa kaskazini ni walowezi? Maana hawafanani hata kidogo japo ilikuwa nchi moja.
Wewe unaonekana akili yako haipo poa, umekurupuka😬.Kweli unaakili wewe! Umejuaje hao ni wahamiaji tu? Na wametokea wapi? We unafikiri ardhi hii ya kwetu sisi tu, weupe hawana haki ya kuishi!! Unachekesha sana 😁😁😁
Kama ni wahamiaji basi hata kiarabu wanachoongea kingefanana na gulf countries people Mf Emirates, oman, Qatar, saudia n.k. ingawa wanaongea kiarabu na wanaelewana vizuri tu na mataifa hayo lakini kuna baadhi ya maneno wanatofautiana japo wote ni waarabu.
Basi hawa ninaowaona hapa ni wale South Sudanese waliotokea north wanaongea kiarabu fluent na kanisani tuna sali nao tena wao ndio wanajaza kanisa wako wengi sana
Kama ilikuwa ni nchi moja na lugha ya taifa ni Arabic basi wale South Sudanese walioenda shule wanaongea kiarabu wale ambao hawajenda shule hawaijui ni kama Kenya wale ambao hawajasoma hawajui English or Swahili lakini huwezi sema Kenya hawajui English na Kiswahili kwa sababu ya hiyo percent mdogo ya illiterateHuenda wapo wanaoongea kiarabu lakini ni wachache sana
Kama ilikuwa ni nchi moja na lugha ya taifa ni Arabic basi wale South Sudanese walioenda shule wanaongea kiarabu wale ambao hawajenda shule hawaijui ni kama Kenya wale ambao hawajasoma hawajui English or Swahili lakini huwezi sema Kenya hawajui English na Kiswahili kwa sababu ya hiyo percent mdogo ya illiterate
Sudan lugha yao ya taifa ni kiarabu, ni kama saudia, emirates na oman. Hata kama hujaenda shule kiarabu utajifunzia kwa wazazi n.k maana ndio lugha mama.
Hao south sudan sina hakika kama ni wazawa ama wahamiaji kutoka sehemu zingine.