Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,311
- 1,018
Mara nyingi wanaume tukiweka miahadi na mwanamke tunataka aje peke yake (privacy), sasa ilikuwaje ulipanga appointment na mwanamke, akawa anataka kuja na rafiki yake?
Ulimkubalia, nini kilitokea?
Ulimkubalia, nini kilitokea?