Ilikuaje ulipopanga miadi na mwanamke akataka aje na rafiki yake?

Ilikuaje ulipopanga miadi na mwanamke akataka aje na rafiki yake?

nilimnong'oneza rafiki ake nenda nje mara moja hela hii hapa kale then urudi nyumbani nikabaki na mwanamke wangu nikamnyandua usiku mzima
 
Nikikaa sehemu ambayo bia haizidi elfu3 namwambia waje wote Kisha ntaanza kumla rafiki yake, hakikisha unapesa mpe rafiki yake elfu50 na huyo demu mpe elfu30 utaona huo mchezo dadadeki nawala hawa ngedere wa mbigiri.
 
Mara nyingi wanaume tukiweka miahadi na mwanamke tunataka aje peke yake (privacy), sasa ilikuwaje ulipanga appointment na mwanamke, akawa anataka kuja na rafiki yake?

Ulimkubalia, nini kilitokea?


Siwezi kuweka miadi na mwanamke wa level ya kuweza kufikiri anaweza kuja na rafiki.

Wanawake ninao watarget wanakuwa na busara ya kutosha kuweza kujua hilo ni kosa.

Ila nyie mnaowasimamisha wanawake barabarani msio wajua na kuomba namba ndo maisha mliojichagulia
 
Back
Top Bottom