Ilikuwa 1980 nchini Poland, mdau amekwenda kwenye music festival na radio cassette ili arecord nyimbo

Ilikuwa 1980 nchini Poland, mdau amekwenda kwenye music festival na radio cassette ili arecord nyimbo

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1639037273864.png

Ilikua Jarocin Festival, vijana na wanaharakati walii penda sana, ilikua inspiration kuachana na utawala wa ki communist na waliimba mabaya yakiyofanywa na viongozi.
 
Yule aliye Wema redio kichwani anajuta kukosa mkanda wa kuning’niza shingoni.
 
Jamaa ana sura personal hao ndo mabaki ya sura za mabaharia wa nyambizi za adolf hitler kriegsmarine hao
 
Back
Top Bottom