Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Hilo jambo bado linasumbua akili yangu kuona mamlaka inafungia Twitter, halafu inaweka kuwa kutumia VPN ni kosa la jinai. Halafu yenyewe inatumia VPN kuwasiliana na wananchi ambao hawatakiwi kutumia VPN kuifikia Twitter.
Nionavyo mimi, matumizi ya VPN yawe halali kisheria kwa sababu mamlaka imekuwa ikitumia VPN. Labda, kama walitumia njia nyingine, lakini tuijuayo sisi ni VPN.
Je, hii mamlaka ya namna hii ina baraka zote kweli za wananchi?