serikali ya magufuli ilikuwa serikali ya hovyo kwenye huu uso wa dunia.Hilo jambo bado linasumbua akili yangu kuona mamlaka inafungia Twitter, halafu inaweka kuwa kutumia VPN ni kosa la jinai. Halafu yenyewe inatumia VPN kuwasiliana na wananchi ambao hawatakiwi kutumia VPN kuifikia Twitter.
Nionavyo mimi, matumizi ya VPN yawe halali kisheria kwa sababu mamlaka imekuwa ikitumia VPN. Labda, kama walitumia njia nyingine, lakini tuijuayo sisi ni VPN.
Je, hii mamlaka ya namna hii ina baraka zote kweli za wananchi?
Sawa tu mtu eti anajidai anahutubia taifa. Kaputi mkubwa.Hilo jambo bado linasumbua akili yangu kuona mamlaka inafungia Twitter, halafu inaweka kuwa kutumia VPN ni kosa la jinai. Halafu yenyewe inatumia VPN kuwasiliana na wananchi ambao hawatakiwi kutumia VPN kuifikia Twitter.
Nionavyo mimi, matumizi ya VPN yawe halali kisheria kwa sababu mamlaka imekuwa ikitumia VPN. Labda, kama walitumia njia nyingine, lakini tuijuayo sisi ni VPN.
Je, hii mamlaka ya namna hii ina baraka zote kweli za wananchi?
Hiki nacho kilikuwa kituko cha karne, walitaka kutuweka gizani wao pekee wapate habari za nga'mbo halafu waje kutwambia wameota hiki na hiki kitatokea ulaya......Hilo jambo bado linasumbua akili yangu kuona mamlaka inafungia Twitter, halafu inaweka kuwa kutumia VPN ni kosa la jinai. Halafu yenyewe inatumia VPN kuwasiliana na wananchi ambao hawatakiwi kutumia VPN kuifikia Twitter.