Ilikuwa hailali lakini sasa ahueni yapata usingizi wa pono. lol

bado hajaishiwa,ameupiga umaskini teke kwa muda. she is preparing for new force of her market demand

unakaribia kulijua jibu.......sasa funguka ana umri gani?
 
kiubavuubavu ndio vipi?

mada zangu zote humu mmu leo ni mafumbo....................bila ya kujaribu kujibu utakimbilia njia pana ya majibu mepesi............not always what you see is what you get.......................think hard Gaijan.........tafuta majibu yake khalafu utaelewa kuwa nimekuja kiubavuubavu........................
 

I thought hard and "OMG, its a waste of space! yeeey"
 

umelikaribia jibu...........reasoning yako ni karibu sahihi................ingawaje siruhusiwi kukupa jibu......ila nitakupa hint moja.........sasa atakuwa na umri gani?
 
I thought hard and "OMG, its a waste of space! yeeey"

reasoning capacity is an ordained gift from God
...............you either have it and use it or you simply do not have it; and, even if you have it and do not use you simply lose it..........Best of wishes.............soma majibu ya wenzio may be you we learn something even f you are slightly suffering from dementia or autism.......
 

Totally! The dots just freeze my mind
 


Ruta leo uliamkia ubavu gani aise
Maana naona topic za leo ni balaa
 
Acheni kuzunguka, dogo alikuwa anakutana na wababaishaji tu. Siku si akajichanganya kwenye 9 inches! Unajua kilichotokea? Mpaka leo hataki tena
 
Totally! The dots just freeze my mind

May be it is not the dots that freezes your mind...........................maybe you just hate my guts.....................or maybe there something else you are afraid of conceding.........................because of your insecurities...................

Proverb 26:24 "He who hates, disguises it with his lips, and lays up deceit within himself."
 
Ruta leo uliamkia ubavu gani aise
Maana naona topic za leo ni balaa

ni matunda ya kuchungulia sana mtanandaoni ninakutana na mengi na kwa vile siyo mchoyo basi yabidi nimwateremshie kidogodogo.....................
 
Acheni kuzunguka, dogo alikuwa anakutana na wababaishaji tu. Siku si akajichanganya kwenye 9 inches! Unajua kilichotokea? Mpaka leo hataki tena

saizi sidhani kama ni ishu pale................................bali umri ndiyo umemshtua....................ana miaka mingapi..............bado hujajibu.......................
 
21 na kuendelea

lol..........Aisha Adam umri huo hawezi kushtuka bado..............................hadi usoogee zaidi...................jaribu tena...
 
kama wewe tu

umri wangu............lol..........nimekula chumvi mingi vinginevyo angelikuwa kakata tamaa..........................bado wamo sana huyu binti usimzeeshe...............
 
lol..........Aisha Adam umri huo hawezi kushtuka bado..............................hadi usoogee zaidi...................jaribu tena...

Bwana Ruta kwa umri huo wapo ambao wanaweza kushutuka kulingana na malezi waliyonayo pamoja na jamii iliyomzunguka kwan wapo wengine wana miaka 30 ukimlimganisha na wa miaka 21 unaona bora wa 21 kuliko wa 30 hiyo ni kutokana na kutofautiana kwa malezi na jamii nzima inayowazunguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…