Greater thinker
JF-Expert Member
- Sep 12, 2011
- 286
- 38
yani mi msichana ila imenisisimua hii kwa kinyaa hadi meno yamekaza meeeeeeeeeeeeeenNilikuwa na demu wangu ninìii na ninii.i...bac tulikuwa tunatomasana na nini..
Sasa ikafka wakat nkaanza kumpga romance..wakat naendelea ghafla nikakutana na chembe chembe za wali yoo mdomoni..mhhmh nikamuuliza mahabuba vipi tena haya mambo,akaniambia et ametoka kutapika...yoo
yani mi msichana ila imenisisimua hii kwa kinyaa hadi meno yamekaza meeeeeeeeeeeeeen
dah! pole sana yoooooo na uache uyo yo yo next time
mmm.........kama kweli huyo mdada ni mpenzi wako, basi nampa pole!! Mwanaume kasoro isitokee tu, ushamuanika mwenzio!! Ila naye alikukomesha kwakweli, ametoka kutapika?? Mmmmmh!
Nilikuwa na demu wangu ninìii na ninii.i...bac tulikuwa tunatomasana na nini..
Sasa ikafka wakat nkaanza kumpga romance..wakat naendelea ghafla nikakutana na chembe chembe za wali yoo mdomoni..mhhmh nikamuuliza mahabuba vipi tena haya mambo,akaniambia et ametoka kutapika...yoo
zikizidi sio mzuka tena yooWatoto wa kike km nyie huwa wanancfia sana nktia hzo yoo yoo...we hupend?
me mwenyewe meiona kule mkuuhi umeichukua kule kwenye jokes