Ilikuwa Kinyaa na nilitamani kutapika...yoo

Greater thinker

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2011
Posts
286
Reaction score
38
Nilikuwa na demu wangu ninìii na ninii.i...bac tulikuwa tunatomasana na nini..
Sasa ikafka wakat nkaanza kumpga romance..wakat naendelea ghafla nikakutana na chembe chembe za wali yoo mdomoni..mhhmh nikamuuliza mahabuba vipi tena haya mambo,akaniambia et ametoka kutapika...yoo
 
yani mi msichana ila imenisisimua hii kwa kinyaa hadi meno yamekaza meeeeeeeeeeeeeen
dah! pole sana yoooooo na uache uyo yo yo next time
 
Watoto wa kike km nyie huwa wanancfia sana nktia hzo yoo yoo...we hupend?
 
Kwa hiyo katapika wali, afu mabaki ya matapishi yakabaki mdomoni. Sio mbaya umemsaidia kuusafisha mdomo wake.
 
Kwa hyo ulifanikiwa kuyameza hayo matapishi sio?
 
mmm.........kama kweli huyo mdada ni mpenzi wako, basi nampa pole!! Mwanaume kasoro isitokee tu, ushamuanika mwenzio!! Ila naye alikukomesha kwakweli, ametoka kutapika?? Mmmmmh!
 
we unadhan haya n madogo yoo?
 
Nilikuwa na demu wangu ninìii na ninii.i...bac tulikuwa tunatomasana na nini..
Sasa ikafka wakat nkaanza kumpga romance..wakat naendelea ghafla nikakutana na chembe chembe za wali yoo mdomoni..mhhmh nikamuuliza mahabuba vipi tena haya mambo,akaniambia et ametoka kutapika...yoo

kaka huyo alidhamiria kukutenda. wewe hujiulizi kwanini alisema kwa kujiamini kuwa "nimetoka kutapika". katika hali ya kawaida mtu angesema "nimetoka kula". wewe unaweza toka kutapika na kwenda kwenye ....?
 
grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr! hapo mie sirudi tena hata kama alikuwa ananifikisha kileleni mwa mlima everest, ni kibuti tu! uchafu kwangu mhmh!
 
Ha ha ha ha ha ha! Huyu jamaa kweli anachangamsha jamvi! Safi sana kijana, haya mambo yapo mitaani!
 
Nilikuwa na demu wangu ninìii na ninii.i...bac tulikuwa tunatomasana na nini..
Sasa ikafka wakat nkaanza kumpga romance..wakat naendelea ghafla nikakutana na chembe chembe za wali yoo mdomoni..mhhmh nikamuuliza mahabuba vipi tena haya mambo,akaniambia et ametoka kutapika...yoo

Hahahahaha ungemeza tu kwani ubwabwa alio kula mwenzio unadhuru?
 
Back
Top Bottom