Ilikuwa kosa Kubwa Kumuacha Gerson Fraga nje

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
3,433
Reaction score
8,585
Nilishangaa kutokumuona Gerson Fraga katika First Eleven pia hakuwepo katika bench la wachezaji wa akiba mkude alikata pumzi mapema kipindi cha kwanza na nje hakukuwa na mbadala wake maana hakuwepo Fraga wala Shiboub

hii ilichangia Gongowazi kupata sare

kingine manula jamani kwani ana nini cha ziada kwani akikaa bechi anakufa mbina hatuelewei jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkia unachezacheza kufukuza nzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata KAGERE baada tuu ya refa kunyanganya lile DUDE lilokuwa amevaa Pumzi ilikata kabisa akawa anarukaruka tuu uwanjani hadi alipotolewa
 
Hata KAGERE baada tuu ya refa kunyanganya lile DUDE lilokuwa amevaa Pumzi ilikata kabisa akawa anarukaruka tuu uwanjani hadi alipotolewa
Na wewe acha ujinga ile mbona ilikuwa cheni tu ya kawaida na ilikuwa na msalaba wa Yesu!?? Mbona mnapenda kuthibitisha jinsi mlivyo wajinga!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani simba ni wepesi kuliko sufi, nguvu yao ini kupiga domo na mikwala midogo midogo tuu
 
Mkude kiwango kimeshuka sana....ingawa kuna baadhi ya watu bado wanaimani nae..lakini ukweli ndio huo...na Ndio maana kipindi cha kotei alikuwa hatii mguu...hata kwenye Timu ya bara Uganda alicheza hovyo kabisa...Simba itafute kiungo mkabaji mwenye kiwango cha juu zaidi ya hata alivyokuwa kotei...Chama na Manula naomba tuendelee kuwafatilia.
 
Maxmo aliwai sema: TANZANIA NDIYO NCHI YENYE MAKOCHA WENGI DUNIA KULIKO NCHI NYINGINE .
INAMAKOCHA 54 M(KWA WAKATI HUO).
HILO ILIKUWA NA MAANA KWAMBA KILA MTANZANIA NI KOCHA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshahara tulipe na kucheza wacheze wao, sisi kuongea inawauma nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…