Toka mechi ya jana kuisha kwa sare. Mashabiki wa simba wamewageuka baadhi ya wachezaji. Wanasahau kuwa wachezaji si robots, kuna mda mpiea ubakataa. Hata Messi na miujiza yake kuna mda anakuwa wa kawaida tu mfano mechi na Liverpool UEFA iliyopita. Pia mpinzani naye ana mbinu za kuweza kuzuia. Mpira ni mchezo wa makosa. Tusiwavunje moyo wachezaji. Mm ni shabiki wa Yanga, lkn jana kwa mara ya kwanza ndio nimeona timu ya Yanga inacheza kwa kufuata maelekezo ya mwalimu. So simba wawe na subira. Manara kama msemaji wa timu hakutakiwa kuwavunja moyo zaidi wacjezaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app