Ilikuwa kosa Kubwa Kumuacha Gerson Fraga nje

kaka yuke mbrazil hana mbwembwe nyingi lakini anakata umeme vibaya mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manula nikipenzi cha baadhi ya viongozi pale,Hilo linamvimbisha na Hana kiwango chakumfikia kakolanya hata kidogo ,Hana timing kabisa, Anatoka sana golini,na wachezaji washamjulia ni kumtungua tu,jamaa hana heshima na Nembo ya simba na hajitumi kwa moyo wote kwa club ,ameicost simba sana jana,kuna wakati hata wawa Ali Kuwa anamfokea,jamaa aanze bench ili kiburi cha so called tanzania one kiishe
 
Mshahara tulipe na kucheza wacheze wao, sisi kuongea inawauma nini?
Mkuu wa we Ni Hadji Manara nini?.
unasound kama mtunza mikoba wa Simba.
Nb: hiyo ni kazi ya KOCHA, na sio kazi yenu.
kama mnaona kuwa mnahaki ya kumpangia kikosi,mlikuwa na Haja gani ya kumpa mkataba?.
na kwanini mtumie pesa mingi kwa kazi amabayo hata wewe mwenyewe unaweza kuifanya?.

MAMBO YASIWE MENGI, MENGI YASIWE MAMBO.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kagere ni muislam anaanzaje kuvaa cheni yenye msalaba wa Yesu? Btw mimi ni shabiki wa Simba ila hapa unapuyanga
Misalaba mpaka akina Diamond wanavaa, na kwa taarifa yako yule anayeonekana kwenye ule msalaba sio YESU, nani alimpiga picha YESU more than 2000 years ago, camera zilikuwepo? acheni ulofa nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu meneja wa simba aliwahi kulalamikiwa na kocha aliyeondoka si ajabu yeye ndiye alishinikiza kina mkude wapangwe badala ya Fraga na shibobu mkude na mzamiru walituua jana piakwanini shabalala wanamng'ang'ania aanze wakati taifa stars na kilimanjaro stars wanamuanzisha gadiel michael marking yake ni mbovu
 
Kwanza asingemruhusu mfungaji wa goli la kwanza kupiga shuti, lazima angeenda nae mzima mzima.

Halafu wabrazil wote wanaujua mpira wa kihuni, wa nguvu, si ulimuona Tairon alivyomdhibiti Nchimbi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Mzamiru alimsindikiza Balama mpaka akafunga. Wakati alitakiwa kufanya chochote ili kumzuia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga alumni inatakiwa usome
kabla ya kuandika
 
Kufungwa goli chache ni kwa sababu ya ubora wa Simba, Manula anafungwa magoli ya kitoto sana acha ubishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo pale golini mngekuwa na Kindoki au Deogratius Munish mngefungwa hizo goli kisa ubora wa beki yenu?!

Ningependa pia ujibu swali langu ungekuwa wewe ndio Manula zile goli ungeokoa vipi?!
 
Kwa hiyo pale golini mngekuwa na Kindoki au Deogratius Munish mngefungwa hizo goli kisa ubora wa beki yenu?!

Ningependa pia ujibu swali langu ungekuwa wewe ndio Manula zile goli ungeokoa vipi?!
Kwanza goli la pili kafunga Mohamed Hussein, una habari hiyo? Na alikuwa anapiga kichwa kumrudishia Manula, kilichotokea ni utoto kutoka kwa Manula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…