Mpira wa kumrudishia kipa ndo wanapiga vile kwenye mazingira?! Sio kwamba namtetea mimi ni Simba au vipi ila ukiangalia mazingira ya hilo goli utagundua kosa ni la Tshabalala. Huwezi mrudishia mpira pale kipa tena wakudunda au utegemee usimletee madhara. Ungekuwa umewahi kudaka usingemlaumu kipa kufungwa goli kama lile. Mipira ya kichwa ya kudunda mibaya sana kwa golikipa.Kwanza goli la pili kafunga Mohamed Hussein, una habari hiyo? Na alikuwa anapiga kichwa kumrudishia Manula, kilichotokea ni utoto kutoka kwa Manula.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unaujua mpira kipa wa chekechea hawezi kufungwa pale, Manula aliudaka kizembe sana na akausukumizia wavuni.Mpira wa kumrudishia kipa ndo wanapiga vile kwenye mazingira?! Sio kwamba namtetea mimi ni Simba au vipi ila ukiangalia mazingira ya hilo goli utagundua kosa ni la Tshabalala. Huwezi mrudishia mpira pale kipa tena wakudunda au utegemee usimletee madhara. Ungekuwa umewahi kudaka usingemlaumu kipa kufungwa goli kama lile. Mipira ya kichwa ya kudunda mibaya sana kwa golikipa.
Dah! Mzamiru alimsindikiza Balama mpaka akafunga. Wakati alitakiwa kufanya chochote ili kumzuia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza ninaomba nikiri UJINGA.Ujinga alumni inatakiwa usome
kabla ya kuandika
Sawa ilikuwa rozali yenye kitambaa cheusiNa wewe acha ujinga ile mbona ilikuwa cheni tu ya kawaida na ilikuwa na msalaba wa Yesu!?? Mbona mnapenda kuthibitisha jinsi mlivyo wajinga!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Man U wanabadilisha makocha kwa kelele za mashabiki mkuu.Maxmo aliwai sema: TANZANIA NDIYO NCHI YENYE MAKOCHA WENGI DUNIA KULIKO NCHI NYINGINE .
INAMAKOCHA 54 M(KWA WAKATI HUO).
HILO ILIKUWA NA MAANA KWAMBA KILA MTANZANIA NI KOCHA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kamwe Kotei au Fraga wasingefanya upuuzi huo. Yaani Mzamiru alifanya fyongo ya kufungulia mwaka.Sijui hakujifunza hata kwa Yondani aliyemshikiria Kegere ili mradi asifunge goli. Niliona clip siku ya Alhamis Fraga alikuwa anachechemea, nilifikiri si serious injury ya kumfanya akose match.Mkuu hata mimi jana nikamkumbuka James Kotei asingefanya upuuzi kama ule kumuachia aende..no 6 anacheza kumaliza dk 90 bila hata kadi ya njano. Nasikia Fraga alipata injury kwenye mazoezi ya mwisho.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa mtazamo wako nafikiri ipo siku utasema hakuna ya haja ya kuwepo kwa mashabiki wa mpira. Lakini tambua bila mashabiki mchezo husika ni mfu.Kwanza ninaomba nikiri UJINGA.
nitajaribu kujifunza zaid ili niondokane na tatizo hili la UJINGA.
TUKIRUDI KWENYE MADA..
NI KWANINI MASHIBIKI WA MPIRA WA BONGO MNAPENDA KUINGIRIA MAJUKUMU YA KOCHA?.
WEWE UNASEMA KOSA KUBWA FRANI KAACHWA NJE, KUNA JAMAA YANGU HAPA NAE ANALAUMU KUNA MCHEZAJI MMOJA HIVI WA SIMBA HAKUPEWA NAFASI YA KUCHEZA.
KWA MUJIBU WA MTAZAMO WAKE, IKIWA HUYO JAMAA ANGELICHEZA, SIMBA WANGELIIBUKA KIDEDE KWA HAT TRICK.
Yaan kila shabiki wa Simba anamchezaji wake, na sio Simba tu hata Yanga nalo hali ni ile ile.
sasa kuna haja gani ya kutafuta MAKOCHA nje ya nchi wakati watanzania wajuvi wa mpira mpo?.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji23]Maxmo aliwai sema: TANZANIA NDIYO NCHI YENYE MAKOCHA WENGI DUNIA KULIKO NCHI NYINGINE .
INAMAKOCHA 54 M(KWA WAKATI HUO).
HILO ILIKUWA NA MAANA KWAMBA KILA MTANZANIA NI KOCHA.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkude ni wa kuachana nae tu hana jipya,
Manula ukipiga mashuti ya mbali ni rahisi sana kumfunga ni shati tu linapepea
Sent using Jamii Forums mobile app
mashabiki wa Ulaya wanamihemko, lakini sio kama mihemko ya mashabiki wa wa Bongo.
Na Kila mtu Ni mtanzania![emoji1787][emoji1787]Zunguka kote utakakoweza kufika dunia hii kisha pita Tz uje ujionee nchi pekee duniani ambapo kila mtu ni kocha, mchezaji, injinia, kibarua, dokta, nesi, mwanasiasa, tajiri, mnyonge nk. Yaani kila mtanzania ni kila mtu
Mkuu wachezaji wa Tz ndivyo walivyo kesho anacheza vizuri,kesho kutwa ziiii ...Mkude ni mfano tu ,unakosea sana au pengine hukufuatilia Challenge Uganda...Mkude alicheza vizuri sana!Mkude kiwango kimeshuka sana....ingawa kuna baadhi ya watu bado wanaimani nae..lakini ukweli ndio huo...na Ndio maana kipindi cha kotei alikuwa hatii mguu...hata kwenye Timu ya bara Uganda alicheza hovyo kabisa...Simba itafute kiungo mkabaji mwenye kiwango cha juu zaidi ya hata alivyokuwa kotei...Chama na Manula naomba tuendelee kuwafatilia.
Alificha kwenye msambwanda kama kuingia jela
Huyo nae ni muongo tuu.Maxmo aliwai sema: TANZANIA NDIYO NCHI YENYE MAKOCHA WENGI DUNIA KULIKO NCHI NYINGINE .
INAMAKOCHA 54 M(KWA WAKATI HUO).
HILO ILIKUWA NA MAANA KWAMBA KILA MTANZANIA NI KOCHA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashabiki wote wa mpira duniani wapo hvyo, jaribuni hata kutembelea forum za team za nje utagundua hilo,mashabiki wa Ulaya wanamihemko, lakini sio kama mihemko ya mashabiki wa wa Bongo.
Bongo kila shabiki anajua kupanga kikosi, anajua nani acheze mpira wa kati, nani acheze winga.
hayo hayaishii kuwa maoni yao na mtazamo wao tu, bali wanayafanya kama maagizo.
timu ikishinda hata kama Shibuda, Nabii Tito ndio walikuwa washambuliaji, kila mmoja atampa sifa KOCHA.
tatizo ni pale timu inapopoteza MCHEZO, kila mmoja atasema, angeliwekwa Thishimbi awe anamalizia mipira ya kati..
mara oooh.. Mkude ni mtaalamu wa mipira iliyokuwa, so, kama Mkude angelicheza mipira mingi ambayo haikuwa haifiki kwa mlengwa, Mkude angelikuwa anamalizia.
mara ooooh.. ili mradi full ujuaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
alikuwa anamkimbiza utafikiri mavi yamembana shenzi kabisa hizi sifa anazopewa magazetini zinamvimbisha kichwa ngoja asugue benchi yeye na mkude wapate akiliDah! Mzamiru alimsindikiza Balama mpaka akafunga. Wakati alitakiwa kufanya chochote ili kumzuia.
Sent using Jamii Forums mobile app