Kwani akiwa keshatangazwa hawezi kuondolewa?Kwa kifupi maandamano ndo yatakoma hivyo na yamekuwa hayana maana hasa sisi kwa tulichokuwa tunadai.
Tutegemee kuibiwa zaidi na kuishi maisha magumu kuliko kawaida!!
Kama imewezekana kutangazwa mbele yao maana yake wamekubaliana na hilo kwa 100% kuna haja gani ya kuendelea kusubiri raia wanakufa na wamefungiwa ndani hakuna kutoka internet hakuna je kuna ulazima gani huo?Kwani akiwa keshatangazwa hawezi kuondolewa?
Mmeshakufa moyo!
Rajapaksa kule Sri Lanka alipoondolewa alikuwa yupo madarakani.Kama imewezekana kutangazwa mbele yao maana yake wamekubaliana na hilo kwa 100% kuna haja gani ya kuendelea kusubiri raia wanakufa na wamefungiwa ndani hakuna kutoka internet hakuna je kuna ulazima gani huo?
Huwa wanang’olewa hata katikati ya muhula. Fighting spirit tu ndiyo inayohitajika!Kwani akiwa keshatangazwa hawezi kuondolewa?
Mmeshakufa moyo!
Sisi tupoHuwa wanang’olewa hata katikati ya muhula. Fighting spirit tu ndiyo inayohitajika!
Forget the percentage. 31+ million people voted for her 😂.98% Is some Kim Jong Un of North Korea number.
Yaani kamuzidi hadi magufuri... hata kama ni uchakachuaji, basi wangeona aibu.. yaani kura za Samia ni zaidi ya JPM, hiyo bado haiingii akilini...98% Is some Kim Jong Un of North Korea number.
Usipopiga umempigia Samia, ukipiga umwmpigia Samia 🤣🤣Forget the percentage. 31+ million people voted for her 😂.
Walisema wana wanachama milioni kumi na tatuTafakari haya:
1. Watanzania walio wengi hawakupiga kura
2. Wachache waliojitokeza walifurumshwa na Gen Z.
3. Mawakala hawakuwepo tena.
4. Waliojiandikisha ni 37M na CCM wenyewe hawana wanachama hata milioni 10. Je, kura 32 milioni za Samia zimetoka wapi?
5. Bila intaneti, wamesafirishaje matokeo?
Kwanini wamelazimisha?
Si suala la Samia anymore, ni suala la CCM, Kundi Mtandao (alilolisema ndugu Polepole) kwani anguko halingekuwa la Samia tu; na hatari mbele ni CCM kufa mazima.
Wamejichimbia mizizi majeshini, hivyo uchafu wao unawagusa wakubwa wengi kwenye vyombo hivyo.
Ni zaidi ya Samia, ni zaidi ya CCM! Tuna safari ngumu, ila ni mwanzo wa mwisho usiotarajiwa hata na CCM yenyewe
Ndo na mimi nashangazwa kwani mwanzoni si alikuwa rais vilevile.Kwani akiwa keshatangazwa hawezi kuondolewa?
Mmeshakufa moyo!
Kimsingi hiyo fighting spirit kwasasa ndiyo iko on more than that.Huwa wanang’olewa hata katikati ya muhula. Fighting spirit tu ndiyo inayohitajika!