Ilikuwa mwaka 1981

Kama ni kweli utakuwa wa 1971/2 maana wengine kushika sikio la upande wa pili kulituchelewesha kuanza shule.
Daah! Kushika sikio kwa mkono wa kulia kwa kuupitisha juu ya utosi wa Kichwa na kushika sikio la mkono wa kushoto eti ndio ilikua kipimo cha umri wa mtoto enzi hizo!! Mkuu umenikumbusha mbali sana,all old gold days.
 
Humu ndani wamejaa watoto, ingawa tuna pidhana nao humu humu na tunawaita kwa jina pendwa (mkuu) mubashara, na walipojua matumizi ya nywila kuingia jf, basi hatu hemi kabisaaa......View attachment 452475
WALIKUWA wakija uwanja wa majimaji kule Songea na mwenzie PAWA MABULA, walikuwa wanakutana na mapawa wadogowadogo wa kule akina PAWA MALUNGUSI...

Wakipita mitaani kutangaza siku ya kiwashuhudia uwanjani ndo tulikiwa tunakoma kwa mbwembwe zao
 
Humu ndani wamejaa watoto, ingawa tuna pidhana nao humu humu na tunawaita kwa jina pendwa (mkuu) mubashara, na walipojua matumizi ya nywila kuingia jf, basi hatu hemi kabisaaa......View attachment 452475
Hahaha! Power Mabula kabla ya kuvunjiwa Jiwe kifuani alikua akijinadi "Power Mabula mtoto wa pekee,sina Kaka wala Dada,nilizaliwa peke yangu"

Halafu anapoza Koo kwa juice ya Orange "Squash"(skuash) enzi hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…