Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Hajui kama kuna bendi ilikua inaitwa Bima leeNimetaka kuonyesha hilo tangazo la bendi ya muziki lilikuwa gazetini mwaka 1981
Soma tarehe kwenye hiyo picha Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajui kama kuna bendi ilikua inaitwa Bima leeNimetaka kuonyesha hilo tangazo la bendi ya muziki lilikuwa gazetini mwaka 1981
Soma tarehe kwenye hiyo picha Mkuu.
Kama ni kweli utakuwa wa 1971/2 maana wengine kushika sikio la upande wa pili kulituchelewesha kuanza shule.Nilikuwa primary lakini darasa la mbele yako kidogo.
Gery NashoniSauti ya Zege, Dudumizi, ...
Daah! Kushika sikio kwa mkono wa kulia kwa kuupitisha juu ya utosi wa Kichwa na kushika sikio la mkono wa kushoto eti ndio ilikua kipimo cha umri wa mtoto enzi hizo!! Mkuu umenikumbusha mbali sana,all old gold days.Kama ni kweli utakuwa wa 1971/2 maana wengine kushika sikio la upande wa pili kulituchelewesha kuanza shule.
Humu ndani wamejaa watoto, ingawa tuna pishana nao humu humu na tunawaita kwa jina pendwa (mkuu) mubashara, na walipojua matumizi ya nywila kuingia jf, basi hatu hemi kabisaaa......Wengi humu hakuwepo duniani kipindi hicho.
Sure aisee, kumbe tuko wengi
Huu uzi sio saizi yenu, nendeni mkajadili akina Diamond na Kiba.Sijui unamaanisha nn?
Ndo wakina nani hao??
Kiingilio kwa Power Mwanamabula ilikuwa sh 5/= kwa mwanafunzi.Humu ndani wamejaa watoto, ingawa tuna pidhana nao humu humu na tunawaita kwa jina pendwa (mkuu) mubashara, na walipojua matumizi ya nywila kuingia jf, basi hatu hemi kabisaaa......View attachment 452475
Mkuu.....Nimetaka kuonyesha hilo tangazo la bendi ya muziki lilikuwa gazetini mwaka 1981
Soma tarehe kwenye hiyo picha Mkuu.
Bila shaka utakua wa 72/73Nilikiwa darasa la kwanza shule ya msingi
WALIKUWA wakija uwanja wa majimaji kule Songea na mwenzie PAWA MABULA, walikuwa wanakutana na mapawa wadogowadogo wa kule akina PAWA MALUNGUSI...Humu ndani wamejaa watoto, ingawa tuna pidhana nao humu humu na tunawaita kwa jina pendwa (mkuu) mubashara, na walipojua matumizi ya nywila kuingia jf, basi hatu hemi kabisaaa......View attachment 452475
Nilichelewa kuanza shule ila ni wa 71.Bila shaka utakua wa 72/73
Inawezekana aisee, au labda nilikuwa koroshoKwa upande mwingine ulikuwa bado u~karanga hata kulimwa haujalimwa wala haujafikiriwa kutunzwa kama mbegu,yaani babu wa babu wa babu kwa upande wa karanga ndio waliokuwepo.
View attachment 452464
Gery Nashoni
Halafu unakumbukaKiingilio kwa Power Mwanamabula ilikuwa sh 5/= kwa mwanafunzi.
Hahaha! Power Mabula kabla ya kuvunjiwa Jiwe kifuani alikua akijinadi "Power Mabula mtoto wa pekee,sina Kaka wala Dada,nilizaliwa peke yangu"Humu ndani wamejaa watoto, ingawa tuna pidhana nao humu humu na tunawaita kwa jina pendwa (mkuu) mubashara, na walipojua matumizi ya nywila kuingia jf, basi hatu hemi kabisaaa......View attachment 452475
Those were the days mihogo ya kukaanga,Halafu unakumbuka
1. MAZINGAOMBWE yalivyokuwa yanaonyeshwa mashuleni...
2. Sinema za yombayomba
3. Sinema za Ukimwi huko Bukoba
Heshima kwako Mkuu.Nilichelewa kuanza shule ila ni wa 71.