Ilikuwa mwaka 1981

Umesahau na Mapera na Maembe kwa chumvi ya pilipili,hakuna kununua maji ya kunywa,tunakunywa yanayotoka kwenye bomba la Shule tu but full Afya hakuna kuugua.
Si ndiyo ninashangaa siku hizi tunaambiwa infection control, lotion una pump kiasi cha matumizi yako, wakati tunakuwa kopo la Vaseline mnawekewa kwenye dressing table kila mtu kwa muda wake, hakuna infection wa mapele.
 
Umesahau na Mapera na Maembe kwa chumvi ya pilipili,hakuna kununua maji ya kunywa,tunakunywa yanayotoka kwenye bomba la Shule tu but full Afya hakuna kuugua.
Tena unaweka mdomo bombani, maji hata huyaoni, yakitoka bombani ni mdomoni nabmoja kwa moja tumboni. Ukimaliza mwenzio anafuata....

Mtoni unaganya kusukuma majani pembeni unachota maji kwa mikono miwili na kuyanywa hapo hapo
 
Duka la ushirika kununua sukari tena kilo za kuamuliwa, lazima ununue na sindano hutaki acha sukari

Nakumbuka foleni za unga wa yanga.
 
sababu na ushahidi utanisaidia niielewe hoja yako. Nini kilitokea baada ya 1980s mpaka kifanye wengi wao wasiwemo humu?
1. Wengine wameuliza hilo tangazo la nini
2. Wengine wamesema hawaijui bendi hiyo
3. Wengine maneno wanayoyaandika unajuwa tu hakuwepo
4. wengi wa baada ya 1980s ndo wenye smart phone
 
1. Wengine wameuliza hilo tangazo la nini
2. Wengine wamesema hawaijui bendi hiyo
3. Wengine maneno wanayoyaandika unajuwa tu hakuwepo
4. wengi wa baada ya 1980s ndo wenye smart phone

Kumbuka humu ndani tumo takribani 370,000 bila kuangalia drop outs, deceased na Kenyans. Ni wangapi kati ya hawa wana-fall kwenye hiyo 1-4?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…