CleverKING
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 8,502
- 25,470
- Thread starter
- #41
Umesahau na Mapera na Maembe kwa chumvi ya pilipili,hakuna kununua maji ya kunywa,tunakunywa yanayotoka kwenye bomba la Shule tu but full Afya hakuna kuugua.Those were the days mihogo ya kukaanga,