ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Kama alivyokuwa Mobutu Seseko na Rais wengine wa Afrika, Wazungu ukiwapa access na resource zako, ukifanya vyote wanavyotaka kamwe hawatakutoa madarakani, hii ndiyo Afrika ilivyo.
Sie tunajua Magufuli alivyopambana na Mabeberu na kuwapiga pliers kwenye interest zao, hivyo hawakutaka Magu aendelee kukaa madarakani kwani alikuwa against interest zao, sasa sijui kwa nini Chadema walishindwa kutumia hiyo nafasi na mabeberu wangewasaidia kupata nchi kama wangepromise kuprotect interest zao .
Kama Mabeberu wana mkono kwenye awamu hii, basi ni ngumu kwa Chadema kushinda lolote ama kuchukua nchi, kwa kuwa wanachotaka kutoka Tanzania wanapata.
Hata Mbowe na Chadema watafungwa tu and no body will care as long as mabeberu wanapata wanachopata.
Chadema wabadilishe mbinu wasije kuwa wanapambana na very powerful forces, serikali ina siri nyingi sana, Mungu mwenyewe ndo anajua.