Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,770
- 5,423
Kulikuwa na tume ya kuwatanga CHADEMA?Kama alivyokuwa Mobutu Seseko na rais wengine wa Afrika, Wazungu ukiwapa access na resource zako, ukifanya vyote wanavyotaka kamwe hawatakutoa madarakani, hii ndiyo Afrika ilivyo.
Sie tunajua Magufuli alivyopambana na Mabeberu na kuwapiga pliers kwenye interest zao, hivyo hawakutaka Magu aendelee kukaa madarakani kwani alikuwa against interest zao, sasa sijui kwa nini Chadema walishindwa kutumia hiyo nafasi na mabeberu wangewasaidia kupata nchi kama wangepromise kuprotect interest zao .
Kama Mabeberu wana mkono kwenye awamu hii, basi ni ngumu kwa Chadema kushinda lolote ama kuchukua nchi, kwa kuwa wanachotaka kutoka Tanzania wanapata.
Hata Mbowe na Chadema watafungwa tu and no body will care as long as mabeberu wanapata wanachopata.
Chadema wabadilishe mbinu wasije kuwa wanapambana na very powerful forces, serikali ina siri nyingi sana, Mungu mwenyewe ndo anajua.
Kwanza hapa kuwa na uchaguzi isipokuwa ni uchafuzi tupuKwa namna yoyote ile mtu anaeilaumu chadema kwamba ilifanya uzembe kwakutokutwaa madaraka anachochea machafuko kama njia sahihi maana njia za kidemokrasia zote zilihujumiwa barabara.
Siku dola itakapowaacha yatima ndio mtaelewa salama yenu ni kuajiri polisi wajinga waliofeli shule.CHADEMA ipi ya kuchukua Nchi?!!!!! Hii ambayo mtu mmoja yuko lockup na yenyewe imejifia!
Wale akina Msigwa niliowaona wanakula apples bila kunawa ndo waongoze Nchi! Ebu jaribuni kuwa serious na mambo ya msingi!
Kama alivyokuwa Mobutu Seseko na rais wengine wa Afrika, Wazungu ukiwapa access na resource zako, ukifanya vyote wanavyotaka kamwe hawatakutoa madarakani, hii ndiyo Afrika ilivyo.
Sie tunajua Magufuli alivyopambana na Mabeberu na kuwapiga pliers kwenye interest zao, hivyo hawakutaka Magu aendelee kukaa madarakani kwani alikuwa against interest zao, sasa sijui kwa nini Chadema walishindwa kutumia hiyo nafasi na mabeberu wangewasaidia kupata nchi kama wangepromise kuprotect interest zao .
Kama Mabeberu wana mkono kwenye awamu hii, basi ni ngumu kwa Chadema kushinda lolote ama kuchukua nchi, kwa kuwa wanachotaka kutoka Tanzania wanapata.
Hata Mbowe na Chadema watafungwa tu and no body will care as long as mabeberu wanapata wanachopata.
Chadema wabadilishe mbinu wasije kuwa wanapambana na very powerful forces, serikali ina siri nyingi sana, Mungu mwenyewe ndo anajua.
Hapa ndio huwa siwaelewi wanaoisema chadema kwamba imeshindwa na ccm au imeshindwa kutwaa madaraka na hivyo wabadili mbinu. Sasa najiuliza mlitaka chadema ifanye nini? Maana njia zote sahihi walitumia zinazoruhusiwa kikatiba mkawauwa na kuwafungulia makesi ya ajabu ajabu. Sasa labda mtuambie je mlitaka chadema i stage qoup d etat? Imagine lissu alikosoa kwa haki mkamchapa 16 bullets mbowe mlishamuandalia mchoro wa kesi ya mchongo toka 2018 sasa mnapowalaumu chadema kwamba walishindwa kutumia nafasi wakati wa magufuli mlitaka chadema wafanye nini?
Nakubaliana na wewe kwa 100%. Ila kama Magufuli angeendelea kuwapo angewaua viongozi wote wa CHADEMA kama ambavyo Paul Kagame anavyowaua wabaya wake.Kama alivyokuwa Mobutu Seseko na rais wengine wa Afrika, Wazungu ukiwapa access na resource zako, ukifanya vyote wanavyotaka kamwe hawatakutoa madarakani, hii ndiyo Afrika ilivyo.
Sie tunajua Magufuli alivyopambana na Mabeberu na kuwapiga pliers kwenye interest zao, hivyo hawakutaka Magu aendelee kukaa madarakani kwani alikuwa against interest zao, sasa sijui kwa nini Chadema walishindwa kutumia hiyo nafasi na mabeberu wangewasaidia kupata nchi kama wangepromise kuprotect interest zao .
Kama Mabeberu wana mkono kwenye awamu hii, basi ni ngumu kwa Chadema kushinda lolote ama kuchukua nchi, kwa kuwa wanachotaka kutoka Tanzania wanapata.
Hata Mbowe na Chadema watafungwa tu and no body will care as long as mabeberu wanapata wanachopata.
Chadema wabadilishe mbinu wasije kuwa wanapambana na very powerful forces, serikali ina siri nyingi sana, Mungu mwenyewe ndo anajua.
Labda chadema waombe serikali ya umoja wa kitaifa angalau waingie serikali I wapate vyeo Kama spika, makamo etcUpo sawa kwamba Magufuli hakuwa backed na unaowaita mabeberu,lakini aliweza kuitumia nguvu kubwa inayoambatana na cheo cha uraisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania,mfano hata kabla ya uchaguzi wenyewe kufanywa tayari ccm ilikuwa na wabunge wanaozidi 50 kwa madai kwamba eti wamekosa mpinzani.
Ushauri wangu: Ili kuiondoa ccm madarakani,(1) katiba mpya ipatikane (2) Vyama vyote vya upinzani viungane na kusimamisha mgombea mmoja,iwe wa uraisi au ubunge.
Huyu macho kumchuzi atajua hajui 2025,meko alijificha dom na kujitangaza wakati kapigwa kwa kura nyingi na cdm...ndio kazalisha wabunge wahovyohovyoKama alivyokuwa Mobutu Seseko na Rais wengine wa Afrika, Wazungu ukiwapa access na resource zako, ukifanya vyote wanavyotaka kamwe hawatakutoa madarakani, hii ndiyo Afrika ilivyo.
Sie tunajua Magufuli alivyopambana na Mabeberu na kuwapiga pliers kwenye interest zao, hivyo hawakutaka Magu aendelee kukaa madarakani kwani alikuwa against interest zao, sasa sijui kwa nini Chadema walishindwa kutumia hiyo nafasi na mabeberu wangewasaidia kupata nchi kama wangepromise kuprotect interest zao .
Kama Mabeberu wana mkono kwenye awamu hii, basi ni ngumu kwa Chadema kushinda lolote ama kuchukua nchi, kwa kuwa wanachotaka kutoka Tanzania wanapata.
Hata Mbowe na Chadema watafungwa tu and no body will care as long as mabeberu wanapata wanachopata.
Chadema wabadilishe mbinu wasije kuwa wanapambana na very powerful forces, serikali ina siri nyingi sana, Mungu mwenyewe ndo anajua.
Mkuu, ukisoma hisia za makundi ya watu wengi hivi sasa, wameng'amua kuwa JPM alikuwa ni mlinzi bora wa rasilimali za nchi yetu. Licha ya uongozi wake wa kiimla, lakini alikuwa ni kiongozi thabiti, mwenye uchu mkubwa wa maendeleo ya nchi yake, na mwenye msimamo mkali na usioyumba.Kama alivyokuwa Mobutu Seseko na Rais wengine wa Afrika, Wazungu ukiwapa access na resource zako, ukifanya vyote wanavyotaka kamwe hawatakutoa madarakani, hii ndiyo Afrika ilivyo.