kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Kocha Pablo amepiga teke kiti wakati mechi ikiwa inaendelea. Hebu tukumbushane maana sikumbuki aina ya adhabu aliyopewa na TFF, bodi ya ligi au serikali kwa kitendo kile alichokifanya siku Ile. Kiti ni Mali iliyokusudiwa kuharibiwa kwa sababu zisizofahamika.
Haifahamiki hasa kwanini alikipiga kiti teke, kwani alitumia kiti kufikisha ujumbe wake, alikiona kiti Cha plastic hakukuwa na hadhi yake? aliwadharau waliokileta? Aliidharau mechi? aliwadharau waamuzi? Aliidharau TFF au aliidharau Tanzania?
Je, ilikuwa lazima kwake kukipiga kiti teke?