Ilikuwa sahihi kocha Pablo kupiga teke kiti?

Ilikuwa sahihi kocha Pablo kupiga teke kiti?

TV ni yako mwenyewe na mkeo, lakini kiti sio chake. Hata kalamu isiyo ya kwako kuivunja ni kosa. Wachezaji wakiudunda chiini mpira kwa hasira wanapewa kadi ya njano, huyu aliyepoga teke
Wewe ulitaka afanywaje mkuu?!
 
Tunatofautiana sana mkuu, mie kuisambaza simu kwa kuipigiza ukutani au hata chini ni kitu cha kawaida mnoo.
Hatukatai watu kuwa na hasira, lakini baada ya kisa ni mkasa. Hata ukiipigiza chini simu yako lazima Kuna adhabu ya kukosa mawasiliano na kununua simu nyingine. Mchezaji akimfanyia hasira mwamuzi au mchezaji mwenzake uwanjani Kuna adhabu anapewa. Je, huyu choko Pablo alipewa adhabu gani kwa kupiga teke kiti mbele ya kadamnasi?
 
angekuwa ni mwinyi zahera au salum mayanga au yule Mbeya city ndiyo wamefanya kitendo kile TFF ya karia ingetoa adhabu ya kunyongwa ..
Alichofanya Pablo ni dharau kubwa sana kwetu na TFF. Sijawahi kuona kocha huko Ulaya akipiga teke kiti uwanjani kama vile hata kama kutokee nini. Na kama yupo atakuwa kapewa adhabu ya kulipa pesa.
 
Wewe ulitaka afanywaje mkuu?!
Kupewa adhabu yenye faida kwenye mpira, angelipa 10ml ingekuwa fundisho kwake na kwa wengine. Hawa wazungu wanadhani sisi ni dhaifu sana na WA hovyo, inferior kwa wazungu. Ndiyo maana hata yule Eymal wa Yanga alituita manyani. Hata Pablo Hana tofauti na Eymal kwa kitendo kile alichofanya.
 
Waswahili mshaanza maneno, unajua hasira wewe? Mie nilivunja TV niliyonunua million 1.3 kwa hasira.
Sawa, lakini siulipewa adhabu ya kukosa kutizama tv na kulipa pesa za kununua TV nyingine? Kila tabia lazima Ina consequences zake. Na every behavior is a communication. Pablo kupiga teke kiti is communicating something ( uhovyo wa TFF, bodi ya ligi, uwanja, marefa, samani, waafrika, nk)
 
Back
Top Bottom