Alijua kuwa lazima kuna bwege atakereka aanze kuuliza maswali ya kipumbavu.... Naona unafanya kazi yako vyemaKocha Pablo amepiga teke kiti wakati mechi ikiwa inaendelea. Hebu tukumbushane maana sikumbuki aina ya adhabu aliyopewa na TFF, bodi ya ligi au serikali kwa kitendo kile alichokifanya siku Ile. Kiti ni Mali iliyokusudiwa kuharibiwa kwa sababu zisizofahamika.
Haifahamiki hasa kwanini alikipiga kiti teke, kwani alitumia kiti kufikisha ujumbe wake, alikiona kiti Cha plastic hakukuwa na hadhi yake? aliwadharau waliokileta? Aliidharau mechi? aliwadharau waamuzi? Aliidharau TFF au aliidharau Tanzania?
Je, ilikuwa lazima kwake kukipiga kiti teke?
.............Mudi anasemaje kuhusu huyu mwamba kutoka Madrid Z?
Ujinga sana huoWaswahili mshaanza maneno, unajua hasira wewe? Mie nilivunja TV niliyonunua million 1.3 kwa hasira.
Baadae ndio unaanza kujilaum, na kujutia.Ujinga sana huo
Kumbeee [emoji54][emoji54][emoji54]Pablo mzee wa mapouda.
Majuto ni mjukuu.Baadae ndio unaanza kujilaum, na kujutia.
TV ni yako mwenyewe na mkeo, lakini kiti sio chake. Hata kalamu isiyo ya kwako kuivunja ni kosa. Wachezaji wakiudunda chiini mpira kwa hasira wanapewa kadi ya njano, huyu aliyepoga tekeWaswahili mshaanza maneno, unajua hasira wewe? Mie nilivunja TV niliyonunua million 1.3 kwa hasira.