Ilikuwa sahihi kwa Nyerere na Karume kuamua aina ya muundo wa muungano bila kushirikisha umma?

Mazingira yepi Simphola? Sio Zanzibar, Huku jua lilichomoza zamani, Walipiga kura mara tatu 1961, 1963, kuchaguwa chama gani kiwaongoze baada ya uhuru wa 10th December 1963, kwa hamasa kubwa. Washindwe kujibu kura ya maoni? Dont ridicule us.

Hizo kura za vyama unafikiri zingefanya nini bila John Okello kujitoa mhanga? Nachosema hapa ni kuwa, mchakato wa katiba kupitia wananchi huchukua muda mrefu, na dhamira ya wakati ule ilikuwa kuungana mapema ili kujenga umoja wa kiafrika, sawa na maazimio ya 1963, unajua kuwa muungano huu ulikuwa ni kwa shinikizo na maslahi ya nani? Unataka kusema katiba mpya ijayo itakuwa haina mapungufu? Unakumbuka ni mapendekezo mangapi yalikataliwa na Karume? Unakumbuka public opinion ya watanzania 1965 iliyofanywa na gazeti la uingereza ili reveal nini juu ya muungano?
 
Kuna taifa liliwahi kupiga kura ya maoni kama wanataka uhuru au laa?!

Hii sijawahi kuisikia!
 

suala la muda c hoja,walipaswa kuwashrksha wananch,maamuz meng hayakushrksha wananch kias kwamba ile long term effects ndo znazd kuongezeka.n upuuz wa viongoz wale kuamua kla ktu bla kushrksha da majority decision!!! i hate nyerere kwa kweli.
 

mchz alkuwa na maamuz ya ksenge et zdumu fkra zake akmaansha hakuna mtu mwingne mwenye mawazo mazur zaid yake,maamuz yake yanatugharimu sasa!!!
 

Najuwa sana Muungano huu ulikuwa ni wa SHINIKIZO na MASLAHI ya nani. So dont lecture me on "kuungana mapema kujenga Umoja wa Kiafrika". Katika train iliyoanza safari April 1964 hadi leo miaka 50 baadae kuna abiria aliyeongezeka. kwanini? Dhamira ya umoja wa afrika ilipotelea wapi? Baada ya Tanganyika na Zanzibar kuungana were there any attempts to take on board at least our immediate neighbours in concodance with the 1963 resolutions? Didnt they agree? why?
 
mchz alkuwa na maamuz ya ksenge et zdumu fkra zake akmaansha hakuna mtu mwingne mwenye mawazo mazur zaid yake,maamuz yake yanatugharimu sasa!!!

Lugha yako inaonyesha wewe ni mtu wa caliber gani. Kwa hali hiyo nashauri tuachane nayo kwa vile Karume na Nyerere hawapo nasi tena. Kuna wengi walitutangulia kwa mfano akinga Mangungo na wengine tusiofahamu hata majina yao; tutalaumu wangapi kila mara mifumo ya dunia itakapokuwa inabadilika?
 
Hahahahahahaaaa!
Hapo umeongea!
Zanzibar udini wa kibubusa unawadhuru sana!
Wanazaa kama panya!
.
Zanzibar ni nyumbani but kuna baadhi ya tamaduni sikubaliani nazo!
...
Wewe hata usjali hiyo ishu ya umilikiji ardhi itajadiliwa ktk bunge la katiba!

Weye huwezi kuwa Mzanzibari kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…