Ilikuwa tarehe kama ya leo january 2011



Yaani whatsapp imeondoka na vingi.....

Hata zile kamati zetu za maandalizi zimetoweka Chit chat
 
Inaelekea hueleweki wewe.... Ngoja nielekeze nguvu zangu kwa wapinzani.

Wakikunyima uje uniambie. .....

Halafu ntamshirikisha mume wangu, akinipa kibali ntakupa. ....
 
sijakuelewa mkuu uliposema hukuwahi kuwauliza mods kuhusu password yako, unataka kusema mods wanajua password zetu au?
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kama mimi nimeungwa makundi kama matano hivi ya wanaJF tofautitofauti. Sijui namba zangu wanazipatia wapi wallah... Basi full balaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…