Ilikuwa tarehe kama ya leo january 2011

Ilikuwa tarehe kama ya leo january 2011

Hongera sana marejesho...

Wewe ni miongoni mwa watu ambao siwezi kujutia kuwafahamu...huu ni ukweli kutoka kwa Babu na Bibi pia!!

Sijui ni kwa sababu wewe ni dot com na mimi ni wa 1947, ila sijapenda uandishi wako kabisa...nilitamani niache kusoma ujumbe wako. Kama siyo uvumilivu wa kiutu uzima, ningekutwangia simu na pangechimbika...tangu lini mtu unamtaja mume wako mpenzi anayekuweka kwenye hii dunia kwa yale mambo ya teacher gfsonwin mwishoni mwa barua??

Hapa namshauri Filipo akate rufaa ili uandike upya...ila sitamruhusu atishie talaka kwa sababu list uliyoitaja ya watu wanaomezea mate mgodi wako inatisha...

But...you are such a wonderful lady (mimi ni mtu mzima, retired MG na nina uzoefu wa miaka kibao, sihitaji kusema zaidi ya hayo) and JF is blessed to have you onboard....

Huu ujumbe nautuma kwa Invisible, Maxence Melo and the crew.....wakiweza kuattract JF members 10,000 kama wewe watajiendea kupumzika....

Kila la heri na uendelee hivyo hivyo......Hapa babu kamwaga baraka zote....!!


Babu DC!!

jamaini babu tangia lini mm nikawa mchecheto kiasi hicho hujui kuwa mm nina wangu haapa hahahahahaaa
 
Mi ndo hata sijui basdei yangu ya kujiinga Jf ni lini,hongera mrejesho kwa kumbukumbu nzuri
 
Back
Top Bottom