Ilikuwa tarehe kama ya leo january 2011

marejesho ina maana humuoni Filipo keshazeeka hivo? Angalia sisi na kina LiverpoolFC ndio saizi yako mrembo.

Makubwa... Shemeji na wewe unataka? Kikweli kweli kabisa?.

Kwa taarifa yako SIDANGANYIKI... Huo uzee wa Filipo mie ndio naufaidi .....Alikudanganya nani ng'ombe anazeeka maini?
 
Last edited by a moderator:

Asante sana shem LiverpoolFC . Eti mume wangu Filipo kaniuliza kwa nini umeniita baby? Nimemuelewesha ameelewa....
 
Last edited by a moderator:
Jamani marejesho kwanini lakini sio mm ninayempenda mumeo bali yeye amekuwa kikwazo kwangu mpaka atanifanya Mentor aniache sijui kwanini mm sielewi Filipo ana nini nami namuachia Mungu bana sina la kusema kabisa
 
Last edited by a moderator:
Jamani marejesho kwanini lakini sio mm ninayempenda mumeo bali yeye amekuwa kikwazo kwangu mpaka atanifanya Mentor aniache sijui kwanini mm sielewi Filipo ana nini nami namuachia Mungu bana sina la kusema kabisa

My dear ladyfurahia usijali . Ndio maana nilisema tangu mwanzo kuna wanaompenda mume wangu na kuna wanaopendwa na mume wangu..... Naomba uendelee kumpotezea maana ukiachika kwa Mentor nakuambia Filipo hatakupenda tena.....Kama ulivyosema , tuendelee kumuomba MUNGU kwa bidii huu upepo nao utapita...
 
Last edited by a moderator:
Umemuona Madame B ? Mwaambie namtafuta anielekeze kwa fundi mzuri wa nguo ya white party....

me nipo wifi yangu ninayekupenda.
Usijali me nitakutafutia kitambaa na nitakushonea menyeweeeeeeeee.....................
ila wifi marejesho, chagua uupendao...

Au....

Au.....

Au...


HAPA CHACHA

ila wifi marejesho kwenye Kitchen Party yako tulitokelezeaaaaaaaaa.......mbayaaaaaaa..........
Full Sare,Hakuna cha nini wala nini mabo yote Swaggg....swagaaaa........!!!!!!!!!!
Kama ulikuwa umetusahau tuliokuja kwenye Kitchen Party yako, ngoja nikukumbushe sasa:
WALIOSIMAMA:
Toka Kushoto KOKUTONA,
Yule pembeni mwenye kiswaga cha kijani ni Mke mwenza Blaki Womani (Mume wetu Arushaone kazi anayo),
Wa tatu toka kushoto waliosimama ni Lily Flower,
Anayefuatia ni gfsonwin,
Yule anayecheka ni shostito Evelyn Salt,
Yule Mdafada aliyejishika kiuno nilikuwa ni mimi mwenyewe Madame B,

WALIOKAA KWENYE KOCHI THATHA:
Toka kushoto ni Preta,
Anayefuata ni Smile,
Anayefuata Ulikuwa ni wewe mwenyewe wifi marejesho........ama ulipendeza sanaaaaaaa (Shemeji Filipo anafaudu.....Duhhh.......!!!!!!!)
Pembeni yako ni Rafiki yangu Marry Hunbig,
Na yule wa mwisho ni wifi yangu wa Ukwenhe charminglady (Jamani kaka yangu Nicas Mtei anakufaidiiiiii.......natamani hata angenioa mimi mwenyewe....lolestination Plus Plus)

Nakukumbusha ili siku nyingine usitusahau.
 
Kweli wewe ni wifi wa ukweli... Ninakupendaje......

Shosti umenikumbusha mbali sana.. Hivi hatuwezi kurudia kitchen party? Tulitokelezea ile mbaya...
Madame B mie nimependa huu mshono wa dada aliyeshika maua.....Ntapendeza si mchezo..
 

Attachments

  • kivazi.jpg
    24.8 KB · Views: 45
Last edited by a moderator:
Makubwa... Shemeji na wewe unataka? Kikweli kweli kabisa?.

Kwa taarifa yako SIDANGANYIKI... Huo uzee wa Filipo mie ndio naufaidi .....Alikudanganya nani ng'ombe anazeeka maini?

Kweli Mke mwema anatoka kwa God! Thats y I'll never leave you! Una maneno matamu mno. Hata Babu Dark City amekubali. Ukiona Babu amekuzungunzia hivyo ujue upo kwenye viwango vya juu sana vya ubora! Always yours!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…