Ilikuwa tarehe kama ya leo january 2011

babu hivi kwanini huna imani na mimi kiasi hiki kwani mbuzi wako si ulishalipwa lakini!
BTW yule mtu wetu kila siku nakwambia ana bonge la bingo njoo ulianzishe tena we unasua sua tu !shaurilo!
ngoja Nyamayao aje anitetee manake naona mimi tu ndo nimewekewa kiulizo!lol
 
Last edited by a moderator:


Wewe bwana ukubali yaishe....vinginevyo sasa utataka kumsababishia babu atoe public notice kuhusu kisa cha mjukuu wake snowhite anayekaribia kuwa mtu mzima prematurely!!

Mbona hata Nyamayao anazo alama za kuuliza??

Mzima lakini wewe??

Umepotelea/potezewa wapi mdogo wangu??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
ahaaaaa ngoja nicheke kwanza
kwanza napenda kukupongeza kwa kutimiza hiyo miaka jf
personally napenda kuishukuru jf kwa kukubali kuwa hapa kwani wewe ni rasilimali muhimu mno
kwanza nilijua wewe ni mwanaume but nakumbuka siku ya kwanza kukumeet ulipokuja kwenye maziko ya my sweet mum(thank you very much) ndo niligundua wewe ni mke mwenzangu!
ujue marejesho mimi na Filipo hatujakutana barabarani pia so usichonge saaaana tuendelee tu kubanana hapo hapo..ila nakushauti kitu
muwache Filipo apumuwe!
 
Last edited by a moderator:
Haki ya nani furaha ya huyo dada inatia mashaka.....

Ndo maana nasikia wengine huwa wanashangilia kwamba leo amekamata mwizi meeeen!!


Babu hajakubali...

Babu DC!!

Baba Dark City Acha mawenge wewe, sasa ulitaka anuneeee......!!!!!!
mwenzako anashangilia anaenda kupata kitu roho inataka, wewe unamtaka akunje uso, Haihuuuuuuu...........Babu weeeee.....!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:



kuna mtu aliimbaga kuwa "jijini sasa ni gemu watu kushea mabwana" ndo tunashea hivo amu
 
Last edited by a moderator:
Jamani marejesho kwanini lakini sio mm ninayempenda mumeo bali yeye amekuwa kikwazo kwangu mpaka atanifanya Mentor aniache sijui kwanini mm sielewi Filipo ana nini nami namuachia Mungu bana sina la kusema kabisa

:glasses-nerdy:


:shut-mouth:
ladyfurahia :A S 100: me ASAP!
 
Last edited by a moderator:


Ha ha ha ha haha.... Namshukuru Filipo kunioa maana ilisaidia watu kujua mimi ni jinsia ya KE.... Ila nadhani kuna wengi walijiuliza huyu mwanaume anaoa mwanaume mwenzake....Vipi tena? Pia na ile avater ya kwanza ya Kinyonga, ilikuwa ngumu kutambua.........

Nilifurahi sana kukuona that day, japo haikuwa siku ya furaha... Nilijua kuna siku nyingine isiyo na jina ningepata nafasi ya kukuona Ukismile kama jina lako, na namshukuru Mungu ilitokea Tanga.............

Huyu Filipo hata sijambana kiviile....Tutamuweka kati achague anataka kwenda wapi maana list nasikia imeongezeka.... Good thing is, sweetlady kajitoa kwenye ligi..

Sasa na wewe, Mwanyasi umemuacha?
 
Last edited by a moderator:

Ukishakuwepo kwenye list, sina uchaguzi tena. Nakuhakikishia kuwa you are beyond compare! Hawa akina Smile, amu, ladyfurahia, sweetlady, and "many other" ni majaribu. Na majaribu ni mtaji, ukiyashinda unabarikiwa! Luv you sana my wife!
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Mzee mwenzangu nimeitikia wito wako.

Naomba umkumbushe binti marejesho asisahau ile ahadi yetu. Filipo akimletea za kuleta babu niko radhi kumuoa mjukuu wangu. Liwalo na Liwe.:becky::becky:
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…